wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui kutembea, pia mabinti wa tanzania ukimgusa tu anakuwa mkali wakati wa Kenya ni wachangamfu, wanaomba email za mawaziri waketu wanawaza fiesta. shortly ameniboa ile mbaya
Nakumbuka wakati fisadi Rostam akichangia kwaya ya kanisa la Lutherani Kinondoni alisema yeye si kama fisadi fulani aliyekuwa na vimada kila kona, na aliyependa vibinti vidogo vidogo. Bila shaka mlengwa alikuwa fisadi Sitta, na kwa kauli yake mwenyewe hapo kwenye red, anatuthibitishia kuwa yaliyosemwa dhidi yake yalikuwa ya kweli.