Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru sana wote waliotoa michango yao katika mada ya mwanzoni mwa mwezi wa kumi iliyokuwa na kichwa cha habari "Kwa watu wa mkoa wa Mara",nilipokea maoni mengi kutoka kwa watu wengi,namshukuru Mungu kwamba kwa mahesabu ya haraka asilimia 97.78 waliochangia waliunga mkono wazo langu.
Heshima za kipekee zimwendee Mr.Sabai kwani yeye alifika mbali hata kunipigia simu na tukaongea mengi sana.Wengine wakachangia kupitia keyboard,lakini niwahakikishie kuwa michango yenu ya mawazo ilinipa nguvu sana ya kuendelea kumalizia draft yetu ya katiba.
Asilimia 81.63 ya waliochangia waliomba nisifanye registration kwanza ili wadau waipitie,hiyo ni asilimia kubwa sana na nimeona ni vema niheshimu mawazo yao kwani wao ndio wadau.
Kwa heshima zoote naomba niwaambie kuwa draft ipo tayari,kilichobaki ni sisi wadau kutafuta muda wa kuipitia kwa pamoja ili tuweze kuona wapi pa kupunguza,wapi pa kuongeza,wapi pa kuondoa na wapi pa kusisitiza.
Naomba kupitia jf tupange kukutania Musoma mjini,kwangu mimi ingekuwa vema kama tungefanya mwezi Disemba wakati wengi wetu tukiwa na likizo.Hayo ni maoni yangu tu,kwani kwa upande wangu naanza likizo tarehe 21/12/2012 kwa muda wa siku 28.
Kama kuna namna nyingine nzuri zaidi tunaweza kupendekeza.
Kwa mara nyingine tena niwashukuru saaana kwa michango yenu ya mawazo.
Karibuni tujadili
Saganka.0782 577 006