Vijana wa Mkoa wa MARA kumekucha,draft ya katiba tayari

SAGANKA

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
313
202
Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru sana wote waliotoa michango yao katika mada ya mwanzoni mwa mwezi wa kumi iliyokuwa na kichwa cha habari "Kwa watu wa mkoa wa Mara",nilipokea maoni mengi kutoka kwa watu wengi,namshukuru Mungu kwamba kwa mahesabu ya haraka asilimia 97.78 waliochangia waliunga mkono wazo langu.

Heshima za kipekee zimwendee
Mr.Sabai kwani yeye alifika mbali hata kunipigia simu na tukaongea mengi sana.Wengine wakachangia kupitia keyboard,lakini niwahakikishie kuwa michango yenu ya mawazo ilinipa nguvu sana ya kuendelea kumalizia draft yetu ya katiba.

Asilimia 81.63 ya waliochangia waliomba nisifanye registration kwanza ili wadau waipitie,hiyo ni asilimia kubwa sana na nimeona ni vema niheshimu mawazo yao kwani wao ndio wadau.

Kwa heshima zoote naomba niwaambie kuwa draft ipo tayari,kilichobaki ni sisi wadau kutafuta muda wa kuipitia kwa pamoja ili tuweze kuona wapi pa kupunguza,wapi pa kuongeza,wapi pa kuondoa na wapi pa kusisitiza.

Naomba kupitia jf tupange kukutania Musoma mjini,kwangu mimi ingekuwa vema kama tungefanya mwezi Disemba wakati wengi wetu tukiwa na likizo.Hayo ni maoni yangu tu,kwani kwa upande wangu naanza likizo tarehe 21/12/2012 kwa muda wa siku 28.
Kama kuna namna nyingine nzuri zaidi tunaweza kupendekeza.

Kwa mara nyingine tena niwashukuru saaana kwa michango yenu ya mawazo.
Karibuni tujadili
Saganka.0782 577 006
 
Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru sana wote waliotoa michango yao katika mada ya mwanzoni mwa mwezi wa kumi iliyokuwa na kichwa cha habari "Kwa watu wa mkoa waMara",nilipokea maoni mengi kutoka kwa watu wengi,namshukuru Mungu kwamba kwa mahesabu ya haraka asilimia 97.78 waliochangia waliunga mkono wazo langu.

Heshima za kipekee zimwendee
Mr.Sabai kwani yeye alifika mbali hata kunipigia simu na tukaongea mengi sana.Wengine wakachangia kupitia keyboard,lakini niwahakikishie kuwa michango yenu ya mawazo ilinipa nguvu sana ya kuendelea kumalizia draft yetu ya katiba.

Asilimia 81.63 ya waliochangia waliomba nisifanye registration kwanza ili wadau waipitie,hiyo ni asilimia kubwa sana na nimeona ni vema niheshimu mawazo yao kwani wao ndio wadau.

Kwa heshima zoote naomba niwaambie kuwa draft ipo tayari,kilichobaki ni sisi wadau kutafuta muda wa kuipitia kwa pamoja ili tuweze kuona wapi pa kupunguza,wapi pa kuongeza,wapi pa kuondoa na wapi pa kusisitiza.

Naomba kupitia jf tupange kukutania Musoma mjini,kwangu mimi ingekuwa vema kama tungefanya mwezi Disemba wakati wengi wetu tukiwa na likizo.Hayo ni maoni yangu tu,kwani kwa upande wangu naanza likizo tarehe 21/12/2012 kwa muda wa siku 28.
Kama kuna namna nyingine nzuri zaidi tunaweza kupendekeza.

Kwa mara nyingine tena niwashukuru saaana kwa michango yenu ya mawazo.
Karibuni tujadili
Saganka.0782 577 006

Kuna kitu kimenipita au sijaelewa tu ?
 
Mkuu mimi ni mojawapo wa wadau wahuko. Nilitaka kujua haya kabla sijaproceses likizo ya kuna, musoma

1.je ni NGOs?
2.Na itakuwa inadili na nini hasa?

Mkuu nauliza hivyo ili nijue. Make ni bora tukajikita katika enemy fulani hasahasa mambo ya kiuchumi katika know wa Mara
 
Pole bwana lunyungu,jambo hili lilijadiliwa karibu mwezi mmoja uliopita.Matatizo ya mkoa wa mara yaliainishwa,na tukasema kuwa vijana tuna jukumu la kubadilisha hali ya kiuchumi ya mkoa wetu.Lakini lazima tuwe na chombo kinachotuunganisha,nacho ni kuunda Muungano wa vijana wa Mara.Kwa kuwa wazo hilo nililitoa mimi,na kwakua matatizo niliyaanisha,isingekuwa vema nikabaki kuainisha matatizo tu bila kupendekeza suruhisho,na ndo nikaja na Muungano wa vijana wa MARA na tayari nimeandaa draft ya katiba.Nilitaka niifanyie registration lakini wadau wengi wakasema wataomba kuipitia kwanza.Hilo jambo halikuwa la kupuuza kwani hao ndio wadau haswaa.Nadhani hadi hapo umeanza kupata picha.
 
Ooh kaka mbona mie hiii kitu imenipita tena ni mdau wa huko mkubwa sana
Hujachelewa ndugu yangu,ndo kwanza tupo kwenye mchakato wa kuijadili draft ya katiba.Unakaribishwa sana,maoni yako ni ya thamani sana.
 
Mkuu mimi ni mojawapo wa wadau wahuko. Nilitaka kujua haya kabla sijaproceses likizo ya kuna, musoma

1.je ni NGOs?
2.Na itakuwa inadili na nini hasa?

Mkuu nauliza hivyo ili nijue. Make ni bora tukajikita katika enemy fulani hasahasa mambo ya kiuchumi katika know wa Mara
Bwana chasha asasi nyingi za kiraia ni NGO's naamini unaelewa.Kupambana na adui umaskini katika mkoa wetu wa Mara ndio ajenda yetu namba moja.Usiwe na wasiwasi,anza ku-process likizo huku pia ukipendekeza tarehe na venue.
 
Mkuu, natumia simu ya tochi hapa, je umeweka attachment hapa ya hiyo katiba?
Pili, naomba mkisha enda Musoma na kujadili naomba uitishwe tena kikao kingine huku DSM kwa ambao hatutaweza kuhudhuria, kumbuka nguvu kazi kubwa sana ipo huku na tunaweza tusipate nafasi ya kwenda home! Nitakucheck kwa simu, ili tuchonge zaidi mkuu!
 
Nashukuru sana manyi,kama upo Dar basi hakuna tabu,shughuli zangu nyingi nafanyia dar,nitakuja kabla likizo haijaisha,nitakutafuta tu-arrange.Ukinipigia simu itakuwa vizuri zaidi.Attachment sijaweka,maana kuna uwezekano ukaweka baada ya siku chache ukaikuta mitaani tayari imekuwa registered na inafanya kazi.Nimeogopa hilo ndugu yangu.
 
Ni vema kuwa na kikao DSM au vipi tumia Snow ball method yaani katiba itume kwa unayemfahamu amtumie anayekfahamu , weka deadline maoni yaje.
Pili, usiogope watu kuiba idea kwa kuwa hadi hapo ulipofika mtu akiamua kuiba idea ataiba tu..so, achia uzi huo watu tuweke maoni maana kudesign katiba za aina hii ndo kazi yangu inayoniweka mjini...
 
Mkuu Mimi nzani mambo mengi tungeyafanya online, na tukikutana huko ni kwenda kumalizia tu, kama mdau alivyo sema, Katiba mbona waga ziko wazi tu, na hata Mawazo ya Biashara huwa yanafanana lakini utafauti huja kwenye techinical isues, kwa hiyo wewe ungetuma katiba wadau tuijadili na tutoa mapendkezo, make Siku hiyo inaweza isitoshe ikichukuliwa maanani kuna watu wanaishi TARIME, SERENGETI,BUNDA ambao watakuja na kurudi kulala makwao
 
naunga mkono ila nadhani ni vema tukifanya na dar, maana wengine si rahisi kusafiri kwenda musoma kwa wakati huo maana likizo zimeisha na tumetoka huko mwezi uliopita
 
naunga mkono ila nadhani ni vema tukifanya na dar, maana wengine si rahisi kusafiri kwenda musoma kwa wakati huo maana likizo zimeisha na tumetoka huko mwezi uliopita
Nitakuja dar ndugu zangu,naomba namba zenu
 
Mkuu Mimi nzani mambo mengi tungeyafanya online, na tukikutana huko ni kwenda kumalizia tu, kama mdau alivyo sema, Katiba mbona waga ziko wazi tu, na hata Mawazo ya Biashara huwa yanafanana lakini utafauti huja kwenye techinical isues, kwa hiyo wewe ungetuma katiba wadau tuijadili na tutoa mapendkezo, make Siku hiyo inaweza isitoshe ikichukuliwa maanani kuna watu wanaishi TARIME, SERENGETI,BUNDA ambao watakuja na kurudi kulala makwao
Unavyosema ni sawa,lakini tulikubaliana kwamba tutakutana tuijadili,na sio kila mtu lazima awepo,wale tutakaokutana tutaijadili na tutawashirikisha wengine ambao hawakufika kwa njia ya mtandao.
Kuna muda utafika tutaiweka hapa.Lakini kama upo dar,usihofu nitakuja baada ya kumaliza Musoma, kwa hiyo utapata fursa ya kuchangia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom