Makamu wa rais Dr. Bilal amefichwa eneo moja linaitwa Chipaka nje kidogo ya mji wa Tunduma kuhofia vurugu za wananchi eneo la Tunduma.
Makamu wa rais anataka aende kukata utepe uzinduzi wa soko jipya lililoungua wananchi wamegoma kwa vile soko lenyewe halijaisha alafu FFU wamemwagwa kushusha bendera za CHADEMA zinazo pepea kuzunguka eneo la soko la Tunduma na vitongoji vyake.
Kama kawaida ya CCM wameshusha kwenye magari wanachama wao ili kuleta hamasa wametembezewa kipigo cha mbwa mwizi na wafuasi wanao aminika ni wa CDM.
Mpaka sasa Bilal kala mingo nje ya mji anasikilizia upepo unavyo vuma Tunduma.
Saffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana wamezidi dharau kama yeye ni kiongozi wa kitaifa kwa nini anaangalia itikadi kwa nini wameshusha bendera wangeziacha zipepeeeee afungue soko halafu asepe
Haya ni matunda ya elimu ya uraia chini ya CDM...najisikia raha sana.
Kipigeni Mawe hicho kizee! Hakina maana.
Mi sielewi shughuli za chama na serikali hazitengwi.......leo kutachimbika.......\tunduma wananchi wamejenga \soko lao wenyewe kwa kuchangishana baada ya kuungua leo anataka sifa bilal ataijua tu leo \tunduma
Hali hii inatisha wanaJF, kama Mhe Rais anatwangwa mawe na wananchi basi hakika nchi inakoelekea siyo kwema!