Vijana wa CHADEMA Tunduma wamechachamaa

Noboka

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
1,246
626
Nimepata taarifa toka kwa mdau aliyeko Tunduma kuwa, kuna ratiba ya Makamu wa Rais kutembelea na kuhutubia mkutano huko Tunduma, sasa jana polisi walipita kwenye vijiwe vyote vyenye bendera za CDM na kuziondoa.

sasa kilichotokea leo vile vijiwe vyote bendera za CDM zimerudi na kama haitoshi zingine zimewekwa karibu na jukwaa atakalohutubia makamu wa rais na wamesema wanasubiri kuona nani wa kwenda kuondoa bendera hizo.

Mwenye taarifa zaidi atujuze wakati naendelea kufuatilia kitakachoendelea.
 
leo hii tunduma, hapana usalama baada ya bendera ya chadema kushushwa kwa kukata mlingoti wake wa chuma huku ikidaiwa kwamba, wameukata hili kuondoa uchafu kwa mgeni ambaye ni makamu wa rais na akisha ondoka watauludisha.

Lakini wananchi wamegoma kwa hiyo hapa ffu nyomi kuhakikisha bilal anautubia na kufungua soko hilo jipya. wananchi wanasema lazima kieleweke bla hivyo hakuna kuutubia mtu pale
 
saa ya ukombozi ni sasa,tunakaribia pale tunapopataka.Mkomae mpaka kieleweke wajameni
 
leo hii tunduma, hapana usalama baada ya bendera ya chadema kushushwa kwa kukata mlingoti wake wa chuma huku ikidaiwa kwamba, wameukata hili kuondoa uchafu kwa mgeni ambaye ni makamu wa rais na akisha ondoka watauludisha. lakini wananchi wamegoma kwa hiyo hapa ffu nyomi kuhakikisha bilal anautubia na kufungua soko hilo jipya. wananchi wanasema lazima kieleweke bla hivyo hakuna kuutubia mtu pale


Hiyo ndiyo kazi pekee polisisiemu wanayoweza kuifanya kwa umakini.

Chonde chonde ndugu zangu mjihadhari hao mapolisisiemu hawachelewi kuwalenga risasi za vifua na kusingizia kwamba mlikuwa mnataka kuvamia msafara wa dr. bilal, gari lao ama kituo cha polisi.
 
Jaribu kuchukua na picha kidogo!waache wazime moto kwa kumwagia petrol wakidhania maji.
 
Soko limejengwa na wananchi leo hii bilal anaenda kufungua? kwanini asiende kufungua la mwanjerwa, uhindini na serikali linajenga mpaka leo halijakwisha.

La Tunduma limeungua juzi tu yale ya mbeya mjini bado hamjafanya lolote serikali.
ninavyowajua wana \tunduma tusubiri tuone itakuwaje?
 
Sijawahi kuona akili za makalioni kama za watendaji wa CCM ana serikali, hasa viongozi wa wilaya na mkoa!

Afadhali hata watumisi wa Hlmashauri!!
 
Hivi Tundema kina nini?
mbona kila siku viongozi wanakimbilia huko?
Kuna mganga mzuri nini?
 
Nasikia harufu ya damu. Amani na utulivu vinaelekea wapi?
 
Soko limejengwa na wananchi leo hii \bilal anaenda kufungua? kwanini asiende kufungua la mwanjerwa, \uhindini na serikali linajenga mpaka leo halijakwisha.
\la Tunduma limeungua juzi tu yale ya \mbeya mjini bado hamjafanya lolote serikali.
\ninavyowajua wana \tunduma tusubiri tuone itakuwaje?

Makamu wa Rais ana kazi ya kuzunguka mikoani kukiimarisha Chama. Sasa wanatafuta ufunguzi kama huo ili kutumia magari ya Serikali lakini lengo ni la kichama zaidi.

USISHANGAE JINSI CCM WANAVYOHANGAIKA UKAAMBIWA KESHO KIONGOZI MKUBWA SERIKALINI ANAENDA SEHEMU FULANI KUZINDUA CHOO CHA KULIPIA"


"TUPO KICHAMA ZAIDI"


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hiyo ndiyo kazi pekee polisisiemu wanayoweza kuifanya kwa umakini.

Chonde chonde ndugu zangu mjihadhari hao mapolisisiemu hawachelewi kuwalenga risasi za vifua na kusingizia kwamba mlikuwa mnataka kuvamia msafara wa dr. bilal, gari lao ama kituo cha polisi.
Hivi huyu Bilali hana shughuli nyingine zaidi ya "Uzinduzi?"
Halafu huko Tunduma kunani mbona wanapishana tu kila leo. Akitoka siju Nahodha, mara bilali mara sijui nani....!
Suala ni kutatua matatizo ya wananchi na siyo kuzurura nchi nzima kujitetea.

Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
 
Nimethibitishiwa na mtu wangu wa karibu toka eneo la tukio kuwa hali si shwari, biashara zimefungwa, na ffu wametanda mjini, haieleweki kama bilali atawahutubia ffu bila wananchi walengwa wa ufunguzi wa soko ama vipi!
 
Makamu wa Rais ana kazi ya kuzunguka mikoani kukiimarisha Chama. Sasa wanatafuta ufunguzi kama huo ili kutumia magari ya Serikali lakini lengo ni la kichama zaidi.

USISHANGAE JINSI CCM WANAVYOHANGAIKA UKAAMBIWA KESHO KIONGOZI MKUBWA SERIKALINI ANAENDA SEHEMU FULANI KUZINDUA CHOO CHA KULIPIA"


"TUPO KICHAMA ZAIDI"


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mi sielewi shughuli za chama na serikali hazitengwi.......leo kutachimbika.......\tunduma wananchi wamejenga \soko lao wenyewe kwa kuchangishana baada ya kuungua leo anataka sifa bilal ataijua tu leo \tunduma
 
Back
Top Bottom