Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,872
- 1,235
greatthinkers,
inanisikitisha sana kuona vijana wanarubunika kirahisi rahisi, lakini kwa kuwa mnaipenda ccm ni vizuri makafanya hivyo. Labda kwa kuwakumbusha maandamano ya cdm yalipinga yafuatayo
ungeni mkono pia
- malipo kwa dowans sasa mi nawaomba kesho muunge mkono malipo hayo.
- kupanda gharama za maisha sasa naomba muunge mkono bei mpya ya sukari
- rites
- ,ticts,
- meremeta,
- alince air,
- ndege ya rais,
- radar,
- bot twin towers,
- iptl,
- richmond,
- noti mpya,
- kiwira,
- alex stewart,
- safari za nje ya nchi utadhani yeye ni waziri wa mabo ya nje
- ticts na uchafu mwingine ambao wamefanya hao wezi
hivi kesho ni siku gani, kwani ni ijumaa?