Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,633
- 22,034
Sio mbaya mkuu,ngoja nijitafuteKifurushi cha 70,000/= lazima ulipie 200,000/= ya device ndio unapata. Kwa mwezi wa kwanza utalipia jumla 270,000/=
Sio mbaya mkuu,ngoja nijitafuteKifurushi cha 70,000/= lazima ulipie 200,000/= ya device ndio unapata. Kwa mwezi wa kwanza utalipia jumla 270,000/=
Au wanataka utoe chochote kitu kwa mmoja ili umshikishe maana mkono mtupu haulambwi wanajikuta kama wanakufaidisha vile utazani sio haki yako.Hayo ndio majibu waliyonipatia nilipowaendelea kuomba huduma yao.
Hii ni apk app au app ya kawaida?Ni hizi hapa, japo sijawahi kuzifungua. Huwa naitumia kwenye streaming ya mpira tu..
View attachment 2853819
Kuna Android App isiyo apk?Hii ni apk app au app ya kawaida?
Ni app, unaipakua google maana haipo playstore wala app store...Hii ni apk app au app ya kawaida?
Wakishafikia hatua hiyo bora ukae pembeni maana kila ukipata changamoto itakulazimu utoe chochote kitu ili kufixAu wanataka utoe chochote kitu kwa mmoja ili umshikishe maana mkono mtupu haulambwi wanajikuta kama wanakufaidisha vile utazani sio haki yako.
Ipo safi, wanaoneshaga movie kali sana hao jamaa.Ni hizi hapa, japo sijawahi kuzifungua. Huwa naitumia kwenye streaming ya mpira tu..
View attachment 2853819
Connection kwenye hizi mambo will end in tears tuu...Wakuu tupeni na feedback za Tigo unlimited kuna watu walisema hapa wamepata laini bila kununua kifaa chao na kuungwa kifurushi cha 70k
Tigo kwa sasa ina speed nzuri sana kuishinda Airtel
Mimi kwa mtazamo wangu huyu jamaa anakupotezea muda mkuu, yeye ni agent kama alivosajili alipata kamisheni na ndo lilikua lengo lake.Jana nilimcheki aliyeniunganishia nikamuambia afanye ima package ya 70K ionekane
Ikabidi nijitangulizie mpira kwa mbele kuwa kuna raia walikuwa wanatumia enterprises na wakaomba hicho kifurushi cha 70K wakapewaView attachment 2853573
naomba link mkuuNatumiaga zaidi pc na simu..
Ila kama ni android tv, install app inaitwa "Yacine Tv", inapatikana google siyo playstore.
Ukishaifungua, nenda hapo kwenye "Live Event" utakutana na match zote ambazo zipo live kwa muda huo..
View attachment 2853765
tueleze mkuu utofauti wengine sio ma IT mkuu hatujui utofauti wakeConnection kwenye hizi mambo will end in tears tuu...
Bora ukachukue router kuliko hizo konakona, ila wanauza parefuu sana, 650K...
Hata airtel wana speed nzuri sana...... Msichoelewa ni kwamba kutumia internet ya router ni tofauti sana na ukiwa unatumia internet ya line iliyoko kwenye simu...
naomba link mkuu
Mimi siyo IT mkuu, ila hiyo ni experience yangu. Nikitumia internet ya kwenye simu kwa line ya Airtel speed ni tofauti na nikitumia interner ya router..tueleze mkuu utofauti wengine sio ma IT mkuu hatujui utofauti wake
Connection kwenye hizi mambo will end in tears tuu...
Bora ukachukue router kuliko hizo konakona, ila wanauza parefuu sana, 650K...
Hata airtel wana speed nzuri sana...... Msichoelewa ni kwamba kutumia internet ya router ni tofauti sana na ukiwa unatumia internet ya line iliyoko kwenye simu...
Fiber = internet inayo kuja na wayaMnaongelea sijui router mara fiber,mara sijui ping ,mara pocket wifi ndo nini hivi tueleweshane basi, na hivi zile kama antenna nazo ni nini??
Wala usijisumbue kwenda Tecno bado hawana hiyo huduma ya esimNje ya mada kidogo wajameni mara nyingi nimekuwa nikipata sms kutoka tigo kiwa simu yangu ina uwezo wa eSIM kwamba niende kweny maduka yao ili kujisajili niitumie huduma ya hiyo swali langu ni je?
Simu yangu ni Tecno Camon 20 pro ina hii huduma ya eSIM kweli? kama tigo wanavyoniambia?? Kwa anaefahamu au anaejua aniangalizie maana naogopa kupoteza mda kwenda kumbe iwe haina, Asanteni sana wadau na karibuni kwa majibu.. Naachia laini.
Je inawezekana kutumia kwenye simu?Fiber = internet inayo kuja na waya