Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Na hiki kifurushi cha 10Mbps kwa 70K ambacho kinapatikana kwenye Retail category hawawezi kukiondoa kirahisi rahisi kwani watu wote walioungwa walisaini mkataba na Airtel.

Kukiterminate bila mkataba mpya italeta legal implications, imagine wakikiondoa kinyemela then watu wakaenda mahakamani pesa itakayowatoka ni kiasi gani?

So kamwe hawawezi fanya huo ujinga hata kidogo..

IMG_20231002_142752~2.jpg
 
View attachment 2853494
Kama ndio hivyo wala sio ishu unaipiga tu chini Router yao afu unaenda kulipia 270K unapewa Router mpya.

Home unakuwa na Router mbili ila moja haitumiki, wao watakuja tu kustuka miezi inapopita bila ile Router kulipiwa kifurushi.

Hapo ndio kama kampuni watajua namna ya kujiongeza
 
Kabisa, next month achaneni na hizo router mkachukue za Retail, kwa sababu inavyoonekana kamwe hiko kifurushi cha 70K hakitakaa kiwe activated..
 
Na hiki kifurushi cha 10Mbps kwa 70K ambacho kinapatikana kwenye Retail category hawawezi kukiondoa kirahisi rahisi kwani watu wote walioungwa walisaini mkataba na Airtel.

Kukiterminate bila mkataba mpya italeta legal implications, imagine wakikiondoa kinyemela then watu wakaenda mahakamani pesa itakayowatoka ni kiasi gani?

So kamwe hawawezi fanya huo ujinga hata kidogo..

View attachment 2853494
Mkuu hii router hata sehemu ambazo hamna kama huku kiluvya 5G inapiga na 4G kwa speed nzuri ambayo file la GB 2 unaweza kulidownload kwa 10 mnts?
 
Kabisa, next month achaneni na hizo router mkachukue za Retail, kwa sababu inavyoonekana kamwe hiko kifurushi cha 70K hakitakaa kiwe activated..
Jana nilimcheki aliyeniunganishia nikamuambia afanye ima package ya 70K ionekane

Ikabidi nijitangulizie mpira kwa mbele kuwa kuna raia walikuwa wanatumia enterprises na wakaomba hicho kifurushi cha 70K wakapewa
Screenshot_20231226-134747.png
 
Mkuu hii router hata sehemu ambazo hamna kama huku kiluvya 5G inapiga na 4G kwa speed nzuri ambayo file la GB 2 unaweza kulidownload kwa 10 mnts?
Mimi niko kibamba, hakuna 5G kuna 4G. Kudownload file la 2GB kwa dakika 10 inategemeana na speed kifurushi ulicholipia.

Kifurushi cha 30Mbps ambacho ni 110K kwa mwezi ndani ya hizo dakika 10 file la 2GB linakuwa limeshashuka tayari bila wasiwasi wowote..

Ila ukijiunga na kile cha 10Mbps ambacho ni 70K basi ndani ya dakika 30 unakuwa umeshashusha file la 2GB..
 
Jana nilimcheki aliyeniunganishia nikamuambia afanye ima package ya 70K ionekane

Ikabidi nijitangulizie mpira kwa mbele kuwa kuna raia walikuwa wanatumia enterprises na wakaomba hicho kifurushi cha 70K wakapewaView attachment 2853573

Huyu anakupa majibu ya kisiasa na anaonekana hajui mambo kiundani..

Unajua kwenye haya mambo ya teknolojia u-sharp tunatofautiana, kuna mwingine akipata awareness kidogo tu basi kwa kujiongeza anajua vingine vingi zaidi.

Iko hivi, wakati naungwa cha kwanza nilitakiwa kulipia ile 200K kwanza hata kabla ya usajili. Baada ya hiyo 200K kusoma kwenye system ndipo system inamruhusu anayekuunga kuendelea na usajili wa router.

Sasa huyo wakala ni either anajua unatakiwa kulipia 200K kwanza ndipo uungwe Retail ila anakufanyia siasa tu, au ni wale ambao ni fuata upepo, hawajui hata kinachoendelea.
 
Mimi niko kibamba, hakuna 5G kuna 4G. Kudownload file la 2GB kwa dakika 10 inategemeana na speed kifurushi ulicholipia.

Kifurushi cha 30Mbps ambacho ni 110K kwa mwezi ndani ya hizo dakika 10 file la 2GB linakuwa limeshashuka tayari bila wasiwasi wowote..

Ila ukijiunga na kile cha 10Mbps ambacho ni 70K basi ndani ya dakika 30 unakuwa umeshashusha file la 2GB..
Sio mbaya mkuu,nitajipanga nichukue iko cha 70k,sasa hivi natumia kasi internet ya voda kifurushi cha 50k,zikiisha zile mb zao speed inashuka mpaka huwezi kudownload chochote,upande wa tv youtube na netflix picha zina low quality vibaya,hamna hata ladha!
 
Kabisa yani
Screenshot_20231226-140823.png
 
Sio mbaya mkuu,nitajipanga nichukue iko cha 70k,sasa hivi natumia kasi internet ya voda kifurushi cha 50k,zikiisha zile mb zao speed inashuka mpaka huwezi kudownload chochote,upande wa tv youtube na netflix picha zina low quality vibaya,hamna hata ladha!
50K ndo unapewa 28GB?

Daah nakuonea huruma sana mkuu, kwa sababu ungeongeza 20K ikafika 70K unapata unlimited ambayo unastream kila kitu kwa 1080p bila kustuck, unadownload mambo yako kwa standard speed, kama una smart tv ndiyo kabisaaa unasahau mambo ya dstv na azam.

Kama unavyoona hapa, mpaka sasa kwa huu mwezi nimetumia almost 300GB, na hapo sijafanya maximum utilzation kama miezi mingine. Kuna wana wanagonga mpaka Terabites kadhaa kwa mwezi😀

IMG_20231226_141618.jpg
 
View attachment 2853606
Mwezi ujao nachukua 70k ya airtel,ila naona hapa kuna wadau wanalalamika now awapati kifurushi 70k,vigezo gani ndio unapewa iko (retail) kifurushi cha 70k permanent?
 
Mkuu samahani, kwenye smart tv unatumia app gani ama njia gani kuangalia EPL online bila hizi decoder za DStv
 
Mwezi ujao nachukua 70k ya airtel,ila naona hapa kuna wadau wanalalamika now awapati kifurushi 70k,vigezo gani ndio unapewa iko (retail) kifurushi cha 70k permanent?
Kifurushi kipo palepale...

Retail mwanzo kabisa itabidi ulipie router 200k. Hiyo ni nje na kifurushi utakacholipia. Kifurushi cha chini kabisa ni 70k. Mahitaji ni NIDA na TIN tu.

Enteprise haulipii kitu, ila kifurushi cha chini kabisa kinaanzia na 110k. Mahitajini NIDA,TIN na Leseni ya biashara.
 
Nina maswali mawili samahani
1. Mfano usipolipia mwezi fulani unabaki na deni la huo mwezi au inakuwa imepita?
2. TIN inayotakiwa ni ya biashara au hata hii ya kawaida?
 
1. Hakuna sharti la kulipia kila mwezi. Kifurushi kikiisha, hata ukae miezi ukija kulipia tena unaanza matumizi yako tarehe hiyo uliyolipia. Ni tofauti na Voda Supakasi ambao ni lazima kila mwezi ulipie bila kuruka..

2. TIN inayotakiwa ni yoyote ile.
 
Shukrani sana mkuu, itabidi nikitafute hiki.
 
Back
Top Bottom