Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Sokoine na Salome Mbatia wote waliuwawa kwa jari za barabra iweje moja umeitolea maelzo kuwa aliuliwa na wahujumu uchumi na mwingine umesema ajari ya barabrani nani alithibitisha hayo...Mbona nasikilia salome mbatia aliuwawa baada ya kugundulika kuwa iko siku ataboa siri ya pesa za EPA maana yeye ndiyo aliepewa jukumu la kuzipokea kutoka kwa makampuni yalio kuwa yanazichukua benki kuu....
Je wewe una taarifa mhimu kulko Vicent Nyerere kuwa Nyerere alikufa kwa ngoma...
kwa kuwa ugonjwa wa Mwakyembe unafanana na wa mwalimu yaani ugonjwa wa gozi je Mwakyembe nae ana ngoma...
Sokoine alikufa na ajali za barabarani 1984. wakati huo hata traffic jam haikuwepo. tuhuma ya kwamba aliuawa na wahujumu uchumi ilienea baada ya kifo chake, na yule dereva aliyesababisha ajali kuelezea mazingira.
Kuhusu Salome Mbatia iliyotokea Iringa inawezekana, ndiyo maana nilisema labda ilipangwa. pia kumbuka kuwa Zitto alikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio kuokoa majeruhi.
Vicent Nyerere ameelezea kwa utashi wake. Usiamini tu kwakuwa jina lake ni Nyerere ukadhani anajua kila kitu kuhusu Nyerere.
Pia gonjwa kubwa siyo lazima iwe ngoma, hata Saratani ya damu pia ni gonjwa kubwa maana tiba yake ni ngumu!