Vifo vya viongozi vyenye utata

Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi.

Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki

Kama ifatavyo
  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
  • Dkt. Omari Ali Juma
Orodha inaendelea
Ongeza na Chattle Master hapo
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Said Shomari alimwagiwa tindikali kwa kosa la kuzuia ufisadi wa taa za barabara za jiji la Mawe-waliommwagia tindikali walikuwa ni maruhani?

Wajumbe wa Nyanza waliokuwa wanapeleka nyaraka za uuzwaji wa rasilimali na ufisadi mwingine wa kutisha wa NCU (1984) wapendwa wetu akina Stephen Kazi,Joseph Kasubi, Ndonho.
Hata dalali shibiriti yumo
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi.

Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki

Kama ifatavyo
  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
  • Dkt. Omari Ali Juma
Orodha inaendelea
Kasim Hanga
 
Nadhani pia CDM pamoja na kuwa kachama kadogo lkn kanahisiwa kuwaua:-
(a). Chacha Wangwe - alokuwa Makamu Mwenyekiti wa CDM Taifa shida ikiwa nani awe Mwenyekiti;

(b). Ben Saanane - shida ikiwa alitaka kuhamia CCM toka CDM. Walaona atataja Siri nyingi za uozo wa viongozi wa CDM ndiyo hivyo wakampoteza;

(c). Zitto Kabwe walimkosakosa sababu ni mjanja - pindi anahama toka CDM kwenda ACT viongozi CDM hawakupenda
 
Bado una mawazo ya kimaskini sana sana , hv si mliona kuwachukua akina Dr mihogo na Dr mashinji ndo mtapata Siri za chadema??? Haya mlipo wachukua waliwapa Siri ipi ?? Ben sanane alikuwa na Siri kuliko mashinji na Dr mihogo??

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom