Vifo vya viongozi vyenye utata

Sokoine na Salome Mbatia wote waliuwawa kwa jari za barabra iweje moja umeitolea maelzo kuwa aliuliwa na wahujumu uchumi na mwingine umesema ajari ya barabrani nani alithibitisha hayo...Mbona nasikilia salome mbatia aliuwawa baada ya kugundulika kuwa iko siku ataboa siri ya pesa za EPA maana yeye ndiyo aliepewa jukumu la kuzipokea kutoka kwa makampuni yalio kuwa yanazichukua benki kuu....
Je wewe una taarifa mhimu kulko Vicent Nyerere kuwa Nyerere alikufa kwa ngoma...
kwa kuwa ugonjwa wa Mwakyembe unafanana na wa mwalimu yaani ugonjwa wa gozi je Mwakyembe nae ana ngoma...

Sokoine alikufa na ajali za barabarani 1984. wakati huo hata traffic jam haikuwepo. tuhuma ya kwamba aliuawa na wahujumu uchumi ilienea baada ya kifo chake, na yule dereva aliyesababisha ajali kuelezea mazingira.
Kuhusu Salome Mbatia iliyotokea Iringa inawezekana, ndiyo maana nilisema labda ilipangwa. pia kumbuka kuwa Zitto alikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio kuokoa majeruhi.
Vicent Nyerere ameelezea kwa utashi wake. Usiamini tu kwakuwa jina lake ni Nyerere ukadhani anajua kila kitu kuhusu Nyerere.
Pia gonjwa kubwa siyo lazima iwe ngoma, hata Saratani ya damu pia ni gonjwa kubwa maana tiba yake ni ngumu!
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea

Baba yangu.
 
  • Karume - Huyu aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume akimwita ndumila kuwili
  • Edward Moringe Sokoine - Huyu aliuawa na wahuju uchumi akina Rashid Kawawa na Cleopa Msuya
  • Kighoma Malima - Huyu aliuawa na Kikwete kwa presha baada ya kufungiwa akaunti zake za Uingereza
  • Horace Kolimba - Huyu aliuawa na Mkapa na Nyerere baada ya matamshi yake kwamba ccm imekosa mwelekeo
  • Imrani Kombe - Aliuawa na Mkapa baada ya kutuhumiwa kumpigia debe Mrema
  • JK Nyerere - Aliuawa na Gonjwa Kubwa
  • Salome Mbatia - Aliuawa na Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.

Mhhh_Mungi bhana,..hebu niambie mzee wangu nani/nini kilimuua.
 
Je tanzania ukizeeka serikali ya CCM wana haki ya kukuua au hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu....Usukumani wazee huuliwa je ni sera ya CCM...

Wewe! wakikusikia wenyewe wasukuma ! teh teh teh ..shauri yako ! mie nilisema tu Nyerere nae alizidi kuzeeka siku zake zilifikia mwisho, hata hivo nikaongeza mambo yake ya kbana watu wakati wenzake wameshaonja vijiasali ndio wakamuondoa, lakini pia nimesikia alikuwa na Gonjwa kuu so huyu Vincent inaweza kuwa mchochezi tu mkubwa ! lakini hata hivo "kila Binadamu ataonja umauti siku yake ikifika. sasa kwanini tunajadili ?
 
Mhhh_Mungi bhana,..hebu niambie mzee wangu nani/nini kilimuua.

Igwe umenishtua sana mpaka ikanibidi nianze kupekua kwenye makabrasha zangu.
Nimekuja kugundua kuwa kumbe baba wa taifa aliuwa na MTANDAO WA AKINA LOWASS ili asiwazibie riziki!
Kweli Tanzania ya Serikali ya CCM ni kama uijuavyo!
Mkapa ni Muuaji, Lowassa ni Jambazi muuaji! Kikwete hivyo hivyo!
 
Igwe umenishtua sana mpaka ikanibidi nianze kupekua kwenye makabrasha zangu.
Nimekuja kugundua kuwa kumbe baba wa taifa aliuwa na MTANDAO WA AKINA LOWASS ili asiwazibie riziki!
Kweli Tanzania ya Serikali ya CCM ni kama uijuavyo!
Mkapa ni Muuaji, Lowassa ni Jambazi muuaji! Kikwete hivyo hivyo!

Now you are talking brother!......
 
Serikali, taasisi mbalimbali zikiwamo za kidini ukichunguza kiundani zote zinaendeshwa kininja tu
 
kumbeeeeee! Nyerere aliuliwa na mkapaaa!, kumbeee! Profesa mwakyusa alipewa uwaziri wa afya ili kulinda siriiiii!daaaa, kumbeeee! Kutoka dactari wa nyerere mpaka uwaziri bin vuuuu!, aaaaa! Siri imefichukaaaaaaa.

ze comedy
 
Yule Passenger kwenye Gari la Dube lilifanya ajali iliyosabisha kifo cha Sokoine, alipotoka gerezani alisema, CCM ikishirikian na ANC walihusika kupanga ajali ile na kufanikiwa kumuua Sokoine, na alimtaja Dube kuwa alikuwa kitengo cha Usalama ANC na alikuwa anawasiliana na watu kwenye redio kabla kuanza safari tokea Morogoro, pia aliezea jinsi ajali ilivyotokea kuwa Gari ya Nyuma ambayo kwa kawaida ndio iliyopaswa kulinda ilitoka ikija upande wao wa kushoto kwa mbele wakalazimika katika kulikwepa kwa kwenda kulia ikiwalizimisha wagongane na gari aliokuwepo Sokoine. Aliapa kwamba ataenda kuweka yote wazi kwenye tume ya maelewano TUTU iliambwe msamaha, lakini masikini haijulikani kama alifika Africa Kusini. Wala Dube ajulikani aliko kwa record ya Jela zetu hapa haijulikani kama yupo, amekufa au alitoka na alitokea gereza gani. Kuna wale watuhumiwa wa uhaini kama akina Hanspope wanaweza kutujuza zaidi kwani walikuwa na huyu jamaa jela, kwani katika mahojiano yake katika kupinga kifungo cha uonevu na kuzungushwa kukata rufaa aligoma kura lakini Hanspope alimsihi sana achane na mgomo kwamba akifa hakuna mtu atajua yaliomsibu lakini akiwa hai ikosiku atapata kusimulia na dunia itajua.

Pia katika mahojiana maulumu kutoka kwa Profesor Shaba aliyefanyia uchunguzi mwili wa Sokoine alieleza kuwa ilisababishwa kuvunjika kwa mfupa wa nyuma wa shingo, ingawa alizungumza kama ni jambo la kawaida kwenye ajali lakini sio rahisi mfupa huo kuvunjia kwa impact yoyote ite kwani unawezesha shingo kuswingi kwa degree kubwa sana kushoto na kuria, pia juu na chini. Hata kama alikuwa amesinzia wakati wa ajali bado alifunga mkanda na hata kama asingelifunga mkanda basi ni sura na meno ndio yange umia, my take ni kunauzekano mkubwa alinyongwa kwa karate na mlinzi wake wakati wa ajali, ili dereva asijue wakati akijaribu kukwepa ajali. Inawezekana kwa sababu akiwa DOM akiahirisha bunge alishasema anakuja kumshauri rais kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, kufikia kuwa na Wizara 11 tuu. Nyerere alimuenzi kuvunja na kuunganisha waizara kufikia 11 lakini tukawa na Mawaziri wasio na Wizara maalumu Ndani yake hivyo ukubwa baraza la Mawaziri likawa palepale. Mungu aiweke pema peponi roho ya Marehemu Sokoine.
 
Kuna sehemu mtu amesema watu wasife.......je hao ni watanzania wa kwanza kufa tunataka serikali ya CCM itolee ufafanuzi utata wa vifo vya viongozi hao.

kwa iyo viongozi ndio walitakiwa waishi milele? ,chacha wangwe,regia mtema mbona usemi?
 
kali kuliko zote,walitangaza kifo cha ballali D. Ambae yuko hai ndani ya state anadunda. Tar 12 oct 2012 anarudi bongo kuwaumbua!
 
Mkapa Kalikologa Mwenyewe,Maneno yake hayana Nyuma wa mbele,Kiboko Baba wa Vicent ni ndugu damu damu na Nyerere,hata leo hii ukienda Butiama Uliza mtu yoyote anamjua Kiboko,Ujinga wa CCM waliumia sana Kuona Vicent Nyerere Kwenda Upinzani CDM....Tena CCm wakae Makini ndani ya CCM kuna makamanda wetu wengi sana kuna siku itafika wataamia upizani wanashindwa kutoka sasa kwaajili wapo vzr kiulinzi wanaogopa ya Mwakyembe, hawa niiii J Makamba,Nape,Mh Samweli Sita.....................tuwategemee Uchaguzi ujao especial MH Sita!!!
 
Alikuwa Naibu Waziri wa Madini na Nishati then Biashara na Viwanda nadhani......was gunned down


ta57_scan-17-300x206.jpg



May 1, 1997 at 12:50 am


Once again Tanzania’s unpredictable electorate has surprised the nation. This was in the second and third by-elections under the multi-party system. The results of the Magu, (Mwanza Region) by-election, following the death of the late MP Mr Malaki Lupondije and the Morogoro North by-election, following the murder of Professor Nicas Mahinda MP, are given below. Some mystery surrounds the death of Professor Mahinda. The police have been quoted as saying that the MP was probably killed by a bullet from his own shotgun fired by his mason, Mr Franco William, while some 30 armed bandits were raiding the professor’s beach house in Dar es Salaam. Mr William was arrested.
hekalu lake kule kunduchi karibu na pale umeme wa Zanzibar unapoanzia limegeuka chaka,sijui huyu bwana hakuwa na ndugu kwa maana ule mhekule umekuwa kama shamba la mkonge lililoachwa bila huduma ,vichaka vimezunguka hilo hekalu ni kama gofu vile
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom