Vifo vya viongozi vyenye utata

DAUDI BALALI aliyekuwa gavana wa benki kuu naye kifo chake kimekaa kimagumashi, haileweki kama kafa kweli au tulipigwa mchanga wa sura!
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea

- jaji Mwakasendo!
 
Ndg zangu wana JF,

wengine kama unawafamu nani alihusika maana kumekuwa na tetesi sana mitaani ni wakati wa kuweka kumbukumbu sawa.

  1. Karume
  2. Edward Moringe Sokoine
  3. Kighoma Malima
  4. Horace Kolimba (baada ya kusalitiwa na malecela CCM waliamua kummaliza maana inasemekana ali ona dira ya CCM ina potea na yeye kuamua kuwapiganga)
  5. Imrani Kombe
  6. JK Nyerere (inasemekana mkapa alicheza kwa nafasi kubwa sana kwani mzee huyu alikuwa anapiga mali za watanzania kubinafsishwa)
  7. Salome Mbatia ndiyo kiongozi alikuwa akizipokea yale mabilion ya EPA kutoka kwa makampuni bubu)
  8. kibona
  9. Mwaikambo
  10. Kombe
  11. Dr jumaa
  12. Prof haroub (huyu inasemekana ana siri nzito juu ya Bilali)
Wanaokufa taratibu

  1. Mwakyembe (huyu ni kwa unafiki wake kutaka kuaniaka undani wa Richmond na umliki wake ambao raisi wa nchi hii mpaka leo anasema hawajui wamiliki wake..kwasasa katulizwa kwa kupewa wizara na amenyamaza kama maji ya mtungi huku watanzania tukikabiliwa kulipa deni la ma bilion kwaajiri yake)
  2. Mwandosa ( ni kuutaka uraisi kwasasa kahongwa uwaziri ili asifungue mdomo)
 
Chacha zakayo wangwe maana alikuwa ameonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa taifa chadema je naye hamuoni kwamba kuna umhimu wa mbowe kutuambia kuhusu kifo chake?
 
Mimi naona yote umemaliza mwenyewe sisi hatuna la kuchangia hapo.
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea

prof Chachage Seith Chachage....huyu ilikuaje akafia hotelini???
 
hekalu lake kule kunduchi karibu na pale umeme wa Zanzibar unapoanzia limegeuka chaka,sijui huyu bwana hakuwa na ndugu kwa maana ule mhekule umekuwa kama shamba la mkonge lililoachwa bila huduma ,vichaka vimezunguka hilo hekalu ni kama gofu vile

Kawaachia watoto wake. Kuna binti yake moja ana mjiwowowo mkubwa hv anafanyia uchangudoa.
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea

Kuna mmoja alipigwa risasi morogoro, huyo sijamkumbuka vizuri jina lake, alikuwa kati ya vijana wawili walioteuliwa na Mzee rais mstaafu Mwinyi kuwa mawaziri vijana kwa pamoja Kikwete na yeye. Wenye kukumbuka jina lake watukumbushe.
 
Back
Top Bottom