Vifo vya viongozi vyenye utata

MH ila minajua mungu ndie mpanga urefu/ufupi wa maisha ya kiumbe hapa dunian
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea
PRO.JWAN MWAIKUSA,MGIMWA,jaribio la kuwaua MWAKYEMBE NA MWANDOSYA
 
Wadau mtakumbuka kwamba huyu mheshimiwa Dr. Omar Ali Juma alikuwa makamu wa rais wa JMT na ghafla mwezi Julai mwaka 2001 wakati wa maadhimisho ya Sabasaba baada ya kutembelea maonesho hayo akionekana mwenye afya nzuri kabisa, alfajiri ya tarehe 5 Julai ndo tulitangaziwa kwamba alikuwa amefariki dunia kwa shinikizo la damu. Hata hivyo, baadae yalisemwa mengi kuhusu kilichosababisha shinikizo hilo la damu. Wengine wanadai kwamba aliauawa. Sasa nakuja kwenu wadau, hivi kifo hiki kilisababishwa na nini hasa? Karibuni tufunguke kila mtu kile anachokijua kabla sheria yao haijaanza kutumika. Nawasilisha.
 
Inasemekana ni kasumu flani ivi aliekewa kwenye microphone ama katika kajuice ivi aliyokunywa wkt wa chakula alipotoka kwenye hayo maadhmish
 
Kuna maneno mengi kuhusiana na kifo cha Dr Omary sababu kubwa zaidi yaweza kuwa uRais awamu ya nne.

Kuna mwanajamvi mmoja ni mahiri sana katika haya masuala bahati mbaya nimesahau jina.
 
Inasemekana alifokewa na Che Nkapa moyo ukamwenda mbio mithiri ya mtoka nduki usain bolt na hatimae israel akabisha hodi akatuachia mwili tu roho ya mpendwa wetu Dr Ommy alitokomeanayo kusikojulikana.
 
Wee mleta mada umetumwa na nani wewe kukumbusha yaliyopita?au na wewe ulikuwa miongoni mwa Wahanga wa ''Mtandao'' uliokuwa chini ya Mamvi?
 
Back
Top Bottom