Vifo vya viongozi vyenye utata

Kiukweli lazima wanadamu wamrudie mungu maake kila mtu sasa hivi anamejitoa akili
 
Nimesema orodha inaendela na kuna wachangia wametaja ungetaja na wewe ningeongeza......na kuhusu kuuliwa na CHADEMA bado huiondolei CCM tuhuma maana wao ndiyo walio apa kuilinda katiba ambayao ni pamoja na usalama wa watanzania.
Acha kulazimisha mambo
 
Sokoine na Salome Mbatia wote waliuwawa kwa jari za barabra iweje moja umeitolea maelzo kuwa aliuliwa na wahujumu uchumi na mwingine umesema ajari ya barabrani nani alithibitisha hayo...Mbona nasikilia salome mbatia aliuwawa baada ya kugundulika kuwa iko siku ataboa siri ya pesa za EPA maana yeye ndiyo aliepewa jukumu la kuzipokea kutoka kwa makampuni yalio kuwa yanazichukua benki kuu....
Je wewe una taarifa mhimu kulko Vicent Nyerere kuwa Nyerere alikufa kwa ngoma...
kwa kuwa ugonjwa wa Mwakyembe unafanana na wa mwalimu yaani ugonjwa wa gozi je Mwakyembe nae ana ngoma...
Nani amekwambia JKN alikuwa na ugonjwa wa ngozi?
 
Chacha Wangwe
Tindu Lisuu (jeruhiwa)
.....all by Freemen M'boo aka makengeza
 
Nyerere kilichomwua ni kansa ya damu jamani na nyingine labda ni frustration kwa kuona viongozi wanavyoanza kuloot mali za taifa ambazo yeye kazilinda sana.
 
Ila huenda Vicent ana point. Unajua Mkapa alianza ufisadi baada ya Nyerere kufariki
This is a serious allegation. Do you have unrefutable data to back up your allegation?
====
Sijajua mleta mada ana nia gani kuleta uzi huu!
 
JE KAMA HAYA YANA UKWELI kwa nini kanisa katoliki tanzania kushilikiana na Uganda zinataka kumpatia nyerere heshima ya utakatifu?
alifanikisha kuuandika mkataba wa serikali kulichotea kanisa ruzuku kutoka serikalini,hivyo lazima atunukiwe hiyo heshima,huo mkataba upo mpaka leo
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi.

Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki

Kama ifatavyo
  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
  • Dkt. Omari Ali Juma
Orodha inaendelea
Ptofeda Mwaikusa, Dr Senkoro Mvungi
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom