Video: Msemaji wa magaidi ya HAMAS alivyotupa mic baada ya kubanwa na swali la kwanini waliua kiholela

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000

View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA

View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M
 
Uharo mtu

mr uharo
 
Swali dogo kama hilo anapaniki teyari na kutupa mic sasa huko kwenye vikao vyao kuna kuwa na arguments kweli maana kwenye arguments ndio inapopatikana njia au majawabu mazuri sana..
Si ajabu miaka nenda rudi hawawashindi Israel.
 
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000

View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA

View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M

semaji gaidi limetema bungo 🤣 :D:p:eek:
 
Endelea tu kufurahia, sisi tunauwa wanajeshi
Screenshot_20231127-115944_Instagram.jpg
Taarifa hii imetoka 5 days ago

Na bado tutauwa mpaka muondoke ardhi yetu
 
Jamani huyo mtoa tukiwambia kichaa mnabisha huyu anaye uliza swali lakijinga na wanafahamu wazi hata media za Israel zilisema Hamasi hakuwauwa wananchi ni jeshi la Israel kwa kuwa hawana experience ndio waliwauwa wananchi wao.

Hamasi hakuingia kwenye majumba isipokuwa yale yapo kwenye camp za jeshi na hata kuna wanawake wa Israel walisema hawakuwadhuru, huyo mulizaji si ndio kama cnn na bbc wanatunga uwongo.

Kuweka mic chini kaona anaongea si na muandishi wa habari isipokuwa kichaa anauliza swali lisilo kuwa na dalili.
 
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000

View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA

View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M

Halafu utakufa kwa presha na uislam utazidI kuimarika duniani
 
Takbiir.
 
Attachments

  • FB_IMG_1701259790917.jpg
    FB_IMG_1701259790917.jpg
    50.6 KB · Views: 2
Halafu utakufa kwa presha na uislam utazidI kuimarika duniani

Kuimarika kwa uislamu sio issue kwangu maana hata freemason na maushetani mengine yanaimarika, hizi siku zilishatabiriwa, nyote hao mtaimarika na kuongezeka sana na kuzaliana, kwanza hamjafikia kiwango kilichotabiriwa, mtafanya zaidi ya mnachokifanya leo maana shetani kiongozi wenu ndio muda wake huu.
 
Na mazombi yenu yakauawa 15,000....iwaingie akilini Myahudi sio wa kufanyiwa shobo.
Sio chini ya wanajeshi 3000 wa israel wameuawa dhidi ya HAMAS COMMANDOS, weka list ya Hamas waliouawa dhidi ya waporaji wa kizayuni!

Hapa utaniwekea ya watoto, wamama na wazee waliouawa dhidi ya waporaji wa kizayuni
 
Kuimarika kwa uislamu sio issue kwangu maana hata freemason na maushetani mengine yanaimarika, hizi siku zilishatabiriwa, nyote hao mtaimarika na kuongezeka sana na kuzaliana, kwanza hamjafikia kiwango kilichotabiriwa, mtafanya zaidi ya mnachokifanya leo maana shetani kiongozi wenu ndio muda wake huu.

Nakuhurumia sana, maana hujui unachokiongea
 
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000

View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA

View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M

Kaona ni uongo na ujinga.

Mtu badala ya kuuliza swali anajenga swali la uongo.
 
Back
Top Bottom