Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.

Hao mbona ni mashabiki wa Al Ahly kabisa na style yao ya kuwasha mioto
 
Mods naomba ruhusa ya kumtukana Gordian Anduru kutoka Ujaluoni huko. Maana analeta mada za kichoko zinazopotosha historia ya Yanga kuwashangilia wapinzani wa Simba ilianza lini hasa.

Kuna wakati Mods mnatuonea sana kwa kutupiga ban pale tunapowatukana inavyostahili wajinga wajinga kama huyu kenge.

Kama hamtaki nifanye hivi basi wekeni mizania sawa kule kwenye Fact Check ili huu ipotoshaji usiendelee.
 
HOJA zimekushinda unakazana na makabila na matusi Kwa kuwa unatumia fake id sawa
 
Wewe mama unakera sana kwa upotoshaji wako wa ukweli. Unajua fika kile wapuuzi wenzako kutoka Jangwani walivyoishabikia Stella Abdjan mwaka 1993, halafu unaibuka tena kuuliza swali la kis**** kwamba "Kwani hilo nalo lilikuwa kombe?".

Mhe.Rais anajua mna upumbavu wa kutaka kuipindisha historia, ndo maana akawakumbusha pale Ikulu, kwamba nyinyi siyo klabu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza fainali ya Shirikisho. Na ni huu upotoshaji wenu (na mwingine mwingi) ndo unafanya nitake kukutukana.
 
Ukimtukana unamuonea tu,huyu ni kizazi kilichoanza kuupenda mpira baada ya kushawishiwa na Manara hivyo wanaamini kila kitu Manara anachosema
 
Wewe mama unakera sana kwa upotoshaji wako wa ukweli. Unajua fika kile wapuuzi wenzako kutoka Jangwani walivyoishabikia Stella Abdjan mwaka 1993, halafu unaibuka tena kuuliza swali la kis**** kwamba "Kwani hilo nalo lilikuwa kombe?".

Mhe.Rais anajua mna upumbavu wa kutaka kuipindisha historia, ndo maana akawakumbusha pale Ikulu, kwamba nyinyi siyo klabu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza fainali ya Shirikisho. Na ni huu upotoshaji wenu (na mwingine mwingi) ndo unafanya nitake kukutukana.
Ikulu mlienda kufuata Nini nyie makolo, fainali aingie Yanga nyie muanze kuja kuwahi mbele mbele na akina Oruma wenu na Saleh Jembe na Bin Kachumbari
 
Natafuta video ya mwaka 1993 utopolo wakiwashangilia Stella Abdjan ya ivory coast kwenye fainali ya Caf Tena walikuwa wakiomba uzalendo umetushinda.
Halafu utanitafutia ya nyuma ya 93 kuonyesha Simba ilikuwa ikishangilia wageni.
Ulikuwa na miaka mingapi kipindi hiki?

Huo ujinga ulikuwa haujaanza bado. Makolo mlianzisha tulieni muone mchezo unavyochezwa
 
Tabia ya
Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.

Tabia ya UTO kuto kujaza uwanja haijaanza leo
 
Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.

Mbona ni waarabu hao wanaoshangilia, au pia wanaipenda ns Simba?

1710993071462.png
 
Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
Hivi kumbe Manji alikuwa mwekezaji pale Yanga? Kwa hisa za asilimia ngapi? Zilikuwa na thamani ya sh. ngapi?
 
Back
Top Bottom