josias
Member
- Jan 7, 2014
- 47
- 34
HATIMAYE SERIKALI YA VICTOR BYEMARWA YAANGUSHWA RASMI NA WANA HUMANITIES.
Leo ndio kwa mara ya kwanza nimeamini ukipewa dhamana ifanyie kazi na sio kudharau waliokuweka madarakani.
Victor Byemerwa amekua rais wa humanities kwa miezi kadhaa huku akishindwa kufanya chochote kwa manufaa ya watu wa humanities na kuacha wakiteseka kwa kero mbalimbali jambo lililopelekea bunge kumuondoa waziri mkuu.
Hatua za kumuwajibisha Victor ambaye ameongoza kwa ubabe hadi kufikia hatua ya kuwapiga baadhi ya wanafunzi hazikuishia hapo bali wanafunzi wa humanities wameenda mbele zaidi kwa kumpigia kura ya kutokua na imani nae tukio lililofanyika leo na hadi kufikia jioni ya leo zaidi ya wanafunzi 6500 kati ya wanafunzi takribani 8500 wa humanities wameshapiga kura ya kutokua na imani naye.
Dah kiukweli nimeamini wanafunzi wa humanities wamekomaa sana katika masomo yao ya political science na sheria kwa jinsi walivyofanikisha zoezi hili kwa ufanisi.
Mungu tusaidie tupate rais mpya mwenye nia ya kutetea maslahi ya wana humanities.