Victor Byemerwa: Rais aliyepinduliwa Humanities UDOM kwa kushindwa kuwatumikia wanafunzi

josias

Member
Jan 7, 2014
47
34
HATIMAYE SERIKALI YA VICTOR BYEMARWA YAANGUSHWA RASMI NA WANA HUMANITIES.

Leo ndio kwa mara ya kwanza nimeamini ukipewa dhamana ifanyie kazi na sio kudharau waliokuweka madarakani.

Victor Byemerwa amekua rais wa humanities kwa miezi kadhaa huku akishindwa kufanya chochote kwa manufaa ya watu wa humanities na kuacha wakiteseka kwa kero mbalimbali jambo lililopelekea bunge kumuondoa waziri mkuu.

Hatua za kumuwajibisha Victor ambaye ameongoza kwa ubabe hadi kufikia hatua ya kuwapiga baadhi ya wanafunzi hazikuishia hapo bali wanafunzi wa humanities wameenda mbele zaidi kwa kumpigia kura ya kutokua na imani nae tukio lililofanyika leo na hadi kufikia jioni ya leo zaidi ya wanafunzi 6500 kati ya wanafunzi takribani 8500 wa humanities wameshapiga kura ya kutokua na imani naye.

Dah kiukweli nimeamini wanafunzi wa humanities wamekomaa sana katika masomo yao ya political science na sheria kwa jinsi walivyofanikisha zoezi hili kwa ufanisi.

Mungu tusaidie tupate rais mpya mwenye nia ya kutetea maslahi ya wana humanities.
 
Saizi ndio kamekua kamfumo ka UDOM, Mwaka Jana ilikua Coed saiz ni humanities

Tunasubiri na kupinduliwa kwa raisi wenu wa federation
 
Majina yale ya watu mliokusanya kwa ma CR na kutoka kwny assignment ndo wamepiga kura ya kutokuwa na imani? Huu ni uongo na ugomvi hapa ni kuwa CCM hawamtaki huyu rais kwa kuwa ni CHADEMA huu ndo ugomvi sio hizo propaganda. Mimi ni mwafunzi wa hapa HUMANITIES na najua vizuri ugomvi huu.
 
Majina yale ya watu mliokusanya kwa ma CR na kutoka kwny assignment ndo wamepiga kura ya kutokuwa na imani? Huu ni uongo na ugomvi hapa ni kuwa CCM hawamtaki huyu rais kwa kuwa ni CHADEMA huu ndo ugomvi sio hizo propaganda. Mimi ni mwafunzi wa hapa HUMANITIES na najua vizuri ugomvi huu.
Isaya Nehemia umeeleweka vema, kwa hyo huyu mleta mada ni gamba ambalo linataka mtu wao wa Ccm aingie madarakani na kuwa Rais, komaeni kuondoa huo uhuni wa hawa majamaa
 
Kwani chuo si kinakuwa raisi mmoja hapa imekuwaje naona Kama wametajwa maraisi wengiwengi.
 
Fanyeni mambo yenye tija kwa taifa,achaneni na siasa za kugombania madaraka!
HATIMAYE SERIKALI YA VICTOR BYEMARWA YAANGUSHWA RASMI NA WANA HUMANITIES.

Leo ndio kwa Mara ya kwanza nimeamini ukipewa dhamana ifanyie Kazi na sio kudharau waliokuweka madarakani.

Victor Byemerwa amekua Rais wa Humanities kwa miezi kadhaa huku akishindwa kufanya chochote kwa manufaa ya watu wa Humanities na kuacha wakiteseka kwa kero mbalimbali jambo lililo pelekea Bunge kumuondoa Waziri mkuu.

Hatua za kumuwajibisha Victor ambaye ameongoza kwa ubabe hadi kufikia hatua ya kuwapiga baadhi ya wanafunzi hazikuishia hapo Bali Wanafunzi wa Humanities wameenda mbele zaidi kwa kumpigia kura ya KUTOKUA NA IMANI NAE tukio lililofanyika leo na hadi kufikia jioni ya Leo zaidi ya Wanafunzi 6500 kati ya Wanafunzi takribani 8500 wa Humanities wameshapiga kura ya kutokua na IMANI naye.

Dah kiukweli nimeamini Wanafunzi wa Humanities wamekomaa sana katika masomo yao ya Political science na Sheria kwa jinsi walivyofanikisha zoezi hili kwa ufanisi.

Mungu tusaidie tupate Rais mpya mwenye nia ya kutetea maslahi ya wana humanities.

Share to many....

Copy & paste
 
Mwandishi anaonesha hata chuo chenyewe inabidi kipinduliwe maana hamna kitu wanachojifunza. Anaandika kama mwanafunzi wa kidato cha nne. Hivi vyuo sasa viwe vinakaguliwa maana ni vya hatari sana kuzalisha watu wa hovyo namna hii. Wanaokuja kujaza server na thread za kipuuzi. Tatizo udom imechukua division 5 nying sana. Ni chuo cha kata.
 
Back
Top Bottom