LIFE DAUDI
Member
- Dec 15, 2015
- 17
- 1
Siasa nyingi...watumishi
Na pia kwenye vyuo bora 200 afrika hakipo kabisa bt kwenye ukubwa wa majengo utadhan Havard,,,udom ubao wa kuandikiwa hints umeoza haufai projector mbovu sana tSiasa nyingi...watumishi
Huyo Raisi alietajwa ni wa College ya Humanities....in short kila college ina raisi wake then kuna Raisi mmoja ambae anaitwa Raisi wa Federation... yeye anaunganisha college zote......nadhan umenipataKwani chuo si kinakuwa raisi mmoja hapa imekuwaje naona Kama wametajwa maraisi wengiwengi.
kama hujui humanities nyamaza mbw ww watoto fb mnatusumbua humu bila shaka umejua smart kutumia mwaka huundio nn hicho hamanities
sasa wewe tahaaira matus ya nn naitaj kujua kama hutak nijue kaa kimya sio kuongea upuuz kama mwehu kwan kila mtu kasoma udom au kasoma chuokama hujui humanities nyamaza mbw ww watoto fb mnatusumbua humu bila shaka umejua smart kutumia mwaka huu
nimepitia profile yako kumbe toto dogo tu ndio kwanza umehitimu diploma udom pole sana ni baba wa watoto 6 mtoto wa kwanza anamiaka 32 wewe utakua ni mtoto wangu kwa vyovyote kwaherkama hujui humanities nyamaza mbw ww watoto fb mnatusumbua humu bila shaka umejua smart kutumia mwaka huu
Tuelekeze mjadala kwenye hoja na sio ooooohhh chuo cha kata ooohh mwandiko.. Inawezekana ikawa ni makosa ya kibinadamu ambayo ni ya kawaida na tunatofautiana kutoka mtu mmoja na mwingine lakini unapochangia jiepushe na kasumba kwa ulisoma udsm, mzumbe au sua na kusema udom chuo cha kata wanafunzi wake ni division 5, utakuwa unakosea sana kwa mtu mmoja hawezi akawakilisha wanafunzi zaidi ya elfu 20. kwa hiyo jiepushe na inductive reasoning... UDOM nadhani ni taasisi kubwa huwezi conclude kuwa huyo mtoa mada hawezi kuwakilisha wanafuzi wa UDOM
Jina la huyo mwandishi linatia shaka kama ni mtanzania.
Sidhani kama chanzo cha jina hilo ni uhayani.Ni mhaya mmoja dogo machachali sana huyo.
we kweli akili zako za kataMwandishi anaonesha hata chuo chenyewe inabidi kipinduliwe maana hamna kitu wanachojifunza. Anaandika kama mwanafunzi wa kidato cha nne. Hivi vyuo sasa viwe vinakaguliwa maana ni vya hatari sana kuzalisha watu wa hovyo namna hii. Wanaokuja kujaza server na thread za kipuuzi. Tatizo udom imechukua division 5 nying sana. Ni chuo cha kata.
da!! hii ndio UDOM ambayo ina shida kwa wanafunzi wanaopenda ukweli..chuo ina shida nyingi ila ukizisema tu unaambiwa wewe ni mtu wa chadema.Maji yenyewe shida ila ukiongea sana unaambiwa mchochezi na utawala wanakupa majibu rahisi tu et pampu zimeharibika mmmmh pampu gani hizi hazitengenezeki..hii ndo UDOM ambayo kila mtu ni mbabe kwa wanafunzi kuanzia utawala hadi suma jkt hiki chuo bhana hakina hata miaka 15 lakini miundominu yake ni ya kichina yaan hata sehemu za vyoo hakujawai kuwa na maji na viongozi wa wanafunzi wapo wanaangalia ila nadhani hii kitu ni jadi .ukiwa kiongozi hiki chuo lazima uwe mwanachama wa ccm aisee inatia huruma.HATIMAYE SERIKALI YA VICTOR BYEMARWA YAANGUSHWA RASMI NA WANA HUMANITIES.
Leo ndio kwa mara ya kwanza nimeamini ukipewa dhamana ifanyie kazi na sio kudharau waliokuweka madarakani.
Victor Byemerwa amekua rais wa humanities kwa miezi kadhaa huku akishindwa kufanya chochote kwa manufaa ya watu wa humanities na kuacha wakiteseka kwa kero mbalimbali jambo lililopelekea bunge kumuondoa waziri mkuu.
Hatua za kumuwajibisha Victor ambaye ameongoza kwa ubabe hadi kufikia hatua ya kuwapiga baadhi ya wanafunzi hazikuishia hapo bali wanafunzi wa humanities wameenda mbele zaidi kwa kumpigia kura ya kutokua na imani nae tukio lililofanyika leo na hadi kufikia jioni ya leo zaidi ya wanafunzi 6500 kati ya wanafunzi takribani 8500 wa humanities wameshapiga kura ya kutokua na imani naye.
Dah kiukweli nimeamini wanafunzi wa humanities wamekomaa sana katika masomo yao ya political science na sheria kwa jinsi walivyofanikisha zoezi hili kwa ufanisi.
Mungu tusaidie tupate rais mpya mwenye nia ya kutetea maslahi ya wana humanities.
we kweli akili zako za kata
Utafikiri wanafundishwa siasa chafu tu chuoni.chuo cha kata mpo vzur kujua siasa