Vicky Kamataa (dada mwenye nyekundu)

Status
Not open for further replies.
Kwenu wana JF wenye mapenzi mema na falsafa ya Kuzungumza kwa uwazi na ukweli kwa manufaa ya jamii yetu. Nimesoma maelezo katika mtiririko wa mada ya huyu dada aliyepata kuimba wimbo wa "WANAWAKE NA MAENDELEO".

Ninahisi tunavuka mipaka tunaopoanza kuanika mambo binafsi ambayo yanamshushia utu na heshima muhusika isipokuwa pale mambo hayo yanapoonekana yanahujumu haki za wengine na yenye mueleko wa jinai na ufisadi.

Tutazame Forums/Blogs za wenzetu waliokomaa na kuendelea katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake na pia kwa kuzingatia utamaduni wa kitanzania ....sidhani kama kuna kujadili personal issue kama katembea na nani au anamtongoza nani kunaleta chachandu ya maendeleo au kukuza mawazo chanya ya kimaendeleo...

JF inasifika kwa kuwa na mawazo endelevu sasa hizi hoja zinazowapa watu mawazo ya pili ..regulators wasiziruhusu.
UHURU WA MWENZAKO UNAANZIA PALE UHURU WAKO UNAPOISHIA!

TUJADILIANE NA KUHABARISHANA KWA HESHIMA NA KUWEKA MBELE MAADILI YA KITANZANIA.
 
Last edited:
Hizi sentensi tata zitawapandisha watu presha!

Presha ishapanda zamani sana.
Inasemekana kwamba kusweka lupango kwa Liyumba kuna connection na V.K, ufisadi umetumika kama mwamvuli tuuu.
 
Ninahisi tunavuka mipaka tunaopoanza kuanika mambo binafsi ambayo yanamshushia utu na heshima muhusika isipokuwa pale mambo hayo yanapoonekana yanahujumu haki za wengine na yenye mueleko wa jinai na ufisadi.

BabuK inaonekana wewe unajua mambo mengine sana ya watu binafsi na ya kifisadi.
Tudokeze basi, zimekaaje hizi rumors za kusweka lupango kwa Liyumba kuwa na connection na V.K
 
Nimesoma tu kwenye mtandao..nilipost jibu kabla haijafahamika kuwa kuna mwelekeo huo. Tusubiri kuhabarishwa zaidi. asante Jews4ever!
 
Mwanakiji kaINZI kako kapo wapi?tupe news Liyumba yupo keko kwa jeuri za wakubwa siyo ufisadi kama tulivyodhani!!!
 
Presha ishapanda zamani sana.
Inasemekana kwamba kusweka lupango kwa Liyumba kuna connection na V.K, ufisadi umetumika kama mwamvuli tuuu.

Heshima mbele!

Sidhani kama kuna ukweli hapo, maana Vicky kama huwa hana hiyana kitu kama anacho lazima akitumie.....list ni ndefu basi hata Mh Gachuma naye lazima aende ndani maana ametumia sana! Washikaji kibao wa UK hasa wa Southampton itabidi wasirudi Tanzania maana watafikia Keko! JK ndiye aliyekuwa anamlipia ada UK kwa kumwamuru Prof Ndulu amalize hilo, na mzee JK kila ajapo UK lazima VK akapumzike naye! Na VK ameuahidi lazima atakuwa mbuge wa kuteuliwa 2010...yetu macho K yake anajua kuitumia...
 
Good. Hakuna 'kumumunya' maneno!
 
Huyu Jews4ever anajua mengi na nimeipenda approach yake hehehe!!
Unajua mkuu, kuna vijihabari kuwa mkuu wa kaya na Liyumba wana bifu la maluv juu ya huyo V.K, na baada ya kutambiana kwa muda mrefu, mwenye nguvu aka-order Liyumba asweke lupango.
 
Sidhani kama kuna ukweli hapo, maana Vicky kama huwa hana hiyana kitu kama anacho lazima akitumie

Inaonekana unaona hadi yaliyojaa mioyoni mwa JK
Ni vizuri ukafahamu hapa tatizo si VK, tatizo ni mkulu, baada ya kuona liyumba atamzidi kete, akaona ammalize kwa mwamvuli wa ufisadi, hapa nataka kukonesha tuu, jinsi mkulu anavyotumia madaraka yake kutumiza matakwa yake binafsi, unajisikiaje pale unapoona zengwe zima la liyumba linatoka na tabia ya visasi alivyonavyo mkulu? wengi tunaweza mpongeza kwa kudeal na mafisadi, kumbe ana ajenda zake binafsi!!!

Kwa taarifa yako, hata uwepo wa Mramba pale kisutu haukuwa kwa makosa ya kifisadi.

.....list ni ndefu basi hata Mh Gachuma naye lazima aende ndani maana ametumia sana! Washikaji kibao wa UK hasa wa Southampton itabidi wasirudi Tanzania maana watafikia Keko! JK ndiye aliyekuwa anamlipia ada UK kwa kumwamuru Prof Ndulu amalize hilo, na mzee JK kila ajapo UK lazima VK akapumzike naye! Na VK ameuahidi lazima atakuwa mbuge wa kuteuliwa 2010...yetu macho K yake anajua kuitumia...
Hii kali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom