Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,843
- 3,379
Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo
Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi
Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na serekali
Nyerere akabakiwa na option moja arudi kwa mabeberu aliokua anawatukana na kuwabeza ili apate mkopo utakaoikomboa nchi iliyo katika wakati mgumu sana
Nyerere alipewa masharti ya kupewa mkopo moja ya masharti hayo ni
Kuachana na ujamaa na kuadopt ubeberu
Nyerere alitafakari hayo masharti sana kukubali masharti ya imf maana yake ni kwenda kinyume na kile ambacho alikua akikihubiri; afanyaje ni bora angatuke ndo option nzuri na ngumu aliyobakia nayo
Nyerere kungatuka ulikua uamuzi wa kushangaza sababu japokua hali ilikua ngumu wananchi walikua na iman naye
Kabla ya kungatuka akamchagua mr yes man bwana Ali hassan mwinyi ili atekeleze matakwa ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo
Mwinyi alifanya mabadiliko ila hakuweza kumaliza yote na baadae mkapa akaja kumalizia kama kuanzishwa TRA, ubinafsishaji na mengineo