Mkuu ni dawa ipi ya asili kwa wenye shida za masikio
Ishu ya masikio dawa
Bangi mbichi/ majani yake twanga upate maji dondoshea kitone Kila skio.
2. Chukua mafuta ya kuku wa kienyeji dondoshea tone Kila skio hrf twanga/ ponda majani ya mti wa mbaazi upate maji yake dondoshea pia tone moja kwenye masikio yote itapendeza wkt wakulala hata liwe Linatoa usaha! Dawa!
 
Wakuu naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa uvimbe nyuma ya kichwa

Miaka kama minne nyuma nilienda pale legency hospital wakanitolea huo uvimbe na wakasema hautarus tena lkn cha ajabu umerud na hapa nimeona bora nitafute dawa mbadala ambayo itaondoa huo uvimbe nyuma ya kichwa

Ni uchafu fulan kama vimafuta huwa vinajikusanya nyuma ya kichwa na ukikipasua vinatoa harufu kali sn

Naomba mwenye kujua tusaidie mana muhim sn
 
Back
Top Bottom