Kuna dawa Moja nilipewa juzikati aiseeehhh ile dawa I salute Ninoumaa!!


1. Inatibu Aleg ya nyama... 2.Ni lubricant kwa wanawake wakavu kunako bibi 3. Inasaidia watoto wadogo waoshtuka shtuka 4.Minyoo kwa watoto na wakubwa yani ni nzuri sana nimepanda kuku wamekula hata haijamea vizuri naitafuta tena nikiipata ntaipiga picha
Ukiipata tushee picha yake itasaidia kichanga wangu anastuka stuka kweli. Utatusaidia sana
 
Khee! Sasa wamefuta kwa sababu gani jamani, hawataki tupate tiba 🥲
Kuna mods naona anabifu nami Leo ananifutia comments si mchezo!
Anyway sukari ikifikia level ya vidonda ni ngumu kuidhibiti.

Kuna mti unafanana na mzambarau unaota sehemu zenye maji magome yake mkate ya shinani awe anachemsha na kunywa husaidia Sanaa nkipata picha ake nitauweka.unafanana na mzambarau Hadi matunda ila wenyewe una umbile kubwa.
 
Kuna mods naona anabifu nami Leo ananifutia comments si mchezo!
Anyway sukari ikifikia level ya vidonda ni ngumu kuidhibiti.

Kuna mti unafanana na mzambarau unaota sehemu zenye maji magome yake mkate ya shinani awe anachemsha na kunywa husaidia Sanaa nkipata picha ake nitauweka.unafanana na mzambarau Hadi matunda ila wenyewe una umbile kubwa.
Dooh pole sana... ukipata picha please share maana bado sijaufahamu vema huo mti.
 
Alovera Poli ni dawa ya kurudisha kumbukumbuku Kwa mtu anayesahau mara Kwa mara lenyewe ni kubwa ivi afu ukilitafuna ni litamu si chungu kama haya ya kupandwa nikirudi kijijini nitapiga picha matumizi yake unalitafuna lenyewe likiwa bichi kipande kidogo

Mbili dawa ya kutibu mkanda jeshi au Kwa jina jingine unaitwa moto wa Mungu haya hadi niwe napicha pia manaa jina sjajui ila nikiyaona nayafahamu ni majani ambayo Huwa yanapenda kuota katikati ya mti au vichaka Yana vimajani vyembamba unachukua unatwanga unpaka sehemu ambayo imeathirika
Mkuu alovera poli dozi ikoje
 
LEO TUANGALIE, NI JINSI GANI UNAWEZA KUMUOKOA MTU ALIYEKUFA KIMAZINGAOMBWE (MSUKULE)

Kila Chenye Uhai, Hakika Kitakufa, Hili Hakuna Wa Kulipinga .

Lakini, Kuna Baadhi Ya Vifo Huwa Vinatatanisha Sana!

Waweza Kuta Mtu Amekufa, Ana Siku 3, Lakini Ukimgusa, Bado Ana Joto!
Mwingine Hata Kutingishika, Anatingishika!

JINSI YA KUMRUDISHA MTU ALIYEKUFA KIMAZINGAOMBWE (MSUKULE):

Ukiona Mtu Kafa Kifo Kinachotatanisha, Mkahisi Yaweza Kuwa Ni Msukule, Msimlilie, Wala Msimuoshe, Fanya Hivi:

Nenda Kwenye Mgomba, Chukua Kamba Tatu Za Mgomba, Kisha Nenda Alipolazwa Marehemu.

Kirha Muweke Kama Inavyowekwa Maiti Kwenye Sanda, Tumia Shuka Nyeupe, Kisha Funga Kama Ifungwavyo Maiti, Kisha Sema:

BISMILLAHI RAHMANI RAHIIM: NAKUOMBA MWENYEEZI MUNGU KWA UWEZO WAKO NA NGUVU ULIYOIWEKA KWENYE MGOMBA, NIONESHE KILICHOLALA HAPA JUU.

Ikiwa Ni Msukule, Papo Hapo Mtaona Mabadiliko, Marehemu Hataonekana, Litabaki Limgomba !

Mkimtafuta Huyo Marehemu, Mtamuona Hapo Hapo Nyumbani, Tena Lazima Atakuwa Nyuma Ya Mlango!

Mchawi Atakimbia
Kalibuni morogoro mjini ndugu zangu 🙏🏽
Mkuu ikiwa kama ashazikwa ila badae mmegundua ni mgomba mlizikq ?
 
Back
Top Bottom