Thats true endapo watashindwa kulizima hili tukio wanaweza kuchukulia kama sababu ya kuahirisha uchaguzi kumbuka na wao wana mbinu nyingi watakapoona maji yako shingoni.Wanaweza pia kuwasukumizia wapinzani kwamba ndiyo wahusika kwa kusema kwama lengo lao eti ni kupata huruma ya wapiga kura, au kwamba tukio hilo lisababishe kufutwa kwa uchaguzi ili kuwaokoa wapinzani kushindwa! Hawa watu wanaweza kufanya na kusema chochote kwani maji yako shingoni. Kumbukeni suala la Shimbo!
Kinachoshangaza ni kwamba kwa nini walitumia entry point hiyo ya huko mkoani Mbeya ambako ni ngome kubwa sana ya Chadema. Si huko Mbeya ndiko Dr Slaa atahitimisha kampeni yake kwa hotuba tarehe 29.10?
Thats true endapo watashindwa kulizima hili tukio wanaweza kuchukulia kama sababu ya kuahirisha uchaguzi kumbuka na wao wana mbinu nyingi watakapoona maji yako shingoni.
Kinachoshangaza ni kwamba kwa nini walitumia entry point hiyo ya huko mkoani Mbeya ambako ni ngome kubwa sana ya Chadema. Si huko Mbeya ndiko Dr Slaa atahitimisha kampeni yake kwa hotuba tarehe 29.10?[/QUOTE]
Waswahili walisha sema Sikio la kufa halisikii dawa!!!
Wanaweza pia kuwasukumizia wapinzani kwamba ndiyo wahusika kwa kusema kwama lengo lao eti ni kupata huruma ya wapiga kura, au kwamba tukio hilo lisababishe kufutwa kwa uchaguzi ili kuwaokoa wapinzani kushindwa! Hawa watu wanaweza kufanya na kusema chochote kwani maji yako shingoni. Kumbukeni suala la Shimbo!
Nilidhani Bakhresa ni mtu rahimu sana mtu wa dini kwa nini anataka kuchafua heshima yake aliyojiwekea kama mtu wa watu maajabu makubwaUzuri wametumia magari ya Bakhresa hivyo kuwasukumizia wapinzani haitawezekana. Hili ni sikio la kufa tu........!!!
KIkwete Kinana na Makamba ole wenu mkiipeleka nchi yetu kwenye umwagaji wa damu historia itawahukumu, kuna tetesi kuwa watu wengi wamepelekwa kwenye kozi fupi Afrika kusini kutoka jeshi la polisi na jeshi la ulinzi inawezekana ndio walikwenda kufanya oda za hizo karatasi za kura,Makame na Kiravu mumebeba dhamana ya nchii iepusheni nchi yetu kwenye umwagaji wa damu Kikwete usije ukapanda maiti kurudi ikulu kipindi cha pili vusha nchi hii vizuri kwenye mabadiliko utaheshimika zaidi duniani
Habari zilizozagaa kwenye tovuti mbalimbali ya kuwa TRA wamekamata
shehena ya mfanya biashara maarufu wa kampuni ya AZAM Bw. Said Bakhresa,
kuwa lori lake lilisheheni karatasi za wapigakura ya URAISI ambazo
tayari zimekwisha kupigwa "NDIYO" kwa JK.
" ........ Wadau huu ni ukweli mtupu magari mawili ya a.a.bahresa(named azam on board)t 501aem na t 263 ajn yako hapa kituo kikuu cha polisi mkoa mbeya,binafsi nimeona hizo karatasi za kura ambazo jk kapigiwa kura ya ndio na ziko kama karatasi milioni tano kwa haraka haraka hope police watatoa taarifa kamili,wametutoa nje sijui wanazichakachua "
bado hujaona?
Taarifa kutoka Tunduma, mpakani mwa Tanzania na Zambia mkoani Mbeya zinasema kuwa lori la kampuni ya Azam linalomilikiwa na mfanyabiasha maarufu Bakhresa leo hii tarehe 18 Oktoba, 2010, limekamatwa likiwa na shehena kubwa la karatasi za kupigia kura zitakazotumika uchaguzi mkuu Oktoba 31.
Maafisa wa TRA tunduma walishtuka baada ya kukuta karatasi hizo za kupigia kura zimefichwa kwenye shehena ya vipodozi. Inasemekana kuwa mzigo huo wa karatasi za kupiga kura ulitokea Afrika Kusini na ulipakiwa kwenye gari la Azam kutoka kwenye gari lililotoka na mzigo kutoka Afrika Kusini.
Taarifa zinasema kuwa lori hilo la Azam linashikiliwa na TRA na mzigo huo umekuwa sealed. Kuna hofu kuwa vigogo wenye njama za kuiba kura wanaweza kujaribu kufuta ushahidi kuhusu kukamatwa kwa karatasi hizi za kupiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, karatasi hizo za kupiga kura tayari zimewekewa tiki kumchagua Jakaya Kikwete wa CCM na lengo ni kuwa zisambazwe kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini na zihesabiwe kama kura halali.
Tafadhali mwenye taarifa zaidi kutoka mpakani Tunduma atupatie ukweli wa jambo hili.
MUNGU IBARIKI TANZANIA!