Uzuri wametumia magari ya Bakhresa hivyo kuwasukumizia wapinzani haitawezekana. Hili ni sikio la kufa tu........!!!
Ishaletwa hapa mkuu asubuhi ya leo. Kama ni kweli kazi ipo. Tanzania itabaki kuwa masikini as long as CCM wako madarakani Mods, imejirudia hii!
Lakini sidhani kama Bakhresa alikuwapo huko zilikopakiwa. Nafikiri alikuwa ni Dereva na Utingo tu, na kama ilivyosemwa kuwa karatasi za kura zimefichwa kwenye maboksi ya vipodozi!!!!! So kuna uwezekano hata huyo Dereva na utingo wasijue nini kilichopakiwa katika gari lao, maana wakijua tu mchezo mzima unakuwa umeingia chooo cha kike, haitokuwa SIRI tena!!!! Wakulaumiwa ni huyo aloinjinia uchapishaji na usafirishaji (Kama hizi habari ni za kweli!!!) na sio Bakhresa au Derevaa wake
Wadau, niliwaahidi (kataika post yangu # 96) kwamba ningewaarifu kile ningelikipata kutoka kwa swahiba wangu aliye Mby. Kanipigia simu na kuniambia alikwenda police station na kukuta hali tulivi -- hakuna malori au gari yeyote nyingine iliyokamatwa na kupelekwa pale. Alipoulizauliza pale al;ijibiwa hawajui kitu kuhusu suala hilo.
Alimpigia rafiki yake aliye Tunduma naye akamjibu hajui kitu kuhusu tukio hilo kwani hajasikia chochote. Kamwambia apeleleze, naye akamjibu atafanya hivyo.
Mimi nadhani siyo kweli, unless hayo malori bado yako Tunduma na kwamba issue yenyewe imekuwa immediately clamped down na authorities kwani ni very devastating.
Mwenye habari zaidi atueleze ama sivyo tuamini kama ni uzushi tu.
Wadau huu ni ukweli mtupu magari mawili ya A.A.Bahresa(named Azam on board)T 501AEM na T 263 AJN yako hapa kituo kikuu cha polisi mkoa Mbeya,binafsi nimeona hizo karatasi za kura ambazo JK kapigiwa kura ya ndio na ziko kama karatasi milioni tano kwa haraka haraka hope police watatoa taarifa kamili,wametutoa nje sijui wanazichakachua au?
Hawa uliowataja ni frontmen tu. Hukuwataja wale behind the scenes -- wahindi kama wanne hivi mafisadi papaambao ndiyo wenye uchu mkubwa JK aendelee kwenye usukani, na ambao ndiyo wana-finance harakati zote hizi chafu!!!