Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

Wanaweza pia kuwasukumizia wapinzani kwamba ndiyo wahusika kwa kusema kwama lengo lao eti ni kupata huruma ya wapiga kura, au kwamba tukio hilo lisababishe kufutwa kwa uchaguzi ili kuwaokoa wapinzani kushindwa! Hawa watu wanaweza kufanya na kusema chochote kwani maji yako shingoni. Kumbukeni suala la Shimbo!
Thats true endapo watashindwa kulizima hili tukio wanaweza kuchukulia kama sababu ya kuahirisha uchaguzi kumbuka na wao wana mbinu nyingi watakapoona maji yako shingoni.
 
Kinachoshangaza ni kwamba kwa nini walitumia entry point hiyo ya huko mkoani Mbeya ambako ni ngome kubwa sana ya Chadema. Si huko Mbeya ndiko Dr Slaa atahitimisha kampeni yake kwa hotuba tarehe 29.10?

Watanzania tumekwisha, ninapata wasiwasi na hili tukio, kwa maana moja, inawezekana hili tukio ni kiini macho cha kutuchota akili tujue watu wanfanya kazi vizuri hapo bOrder, lakini inawezekana kuna KURA ZINGINE MILIONI TANO ZIMESHAINGIA NDANI YA NYUMBA, hizo ni za kututoa akili tu tuamini kwamba hakuna mazigo unaopita hapo hovyo, NANI HUWA ANAKAGUA TAZARA? NASHAWISHIKA KUSEMA KUNA KURA HIZO MILIONI TANO ZIMESHAINGIA NA LABDA ZIMESHASAMBAZWA KWENYE VITUO VYA VIJIJINI,
INAUMA SANA
 
Taarifa niliyoipata muda huu ni kwamba, wanazi wote wa CCM mkoani MBEYA, wanaelekea mjini, haijafahamika kama ni kikao cha dharula au kujaribu kuchakachua! More news to come!
 
Thats true endapo watashindwa kulizima hili tukio wanaweza kuchukulia kama sababu ya kuahirisha uchaguzi kumbuka na wao wana mbinu nyingi watakapoona maji yako shingoni.

kama nikweli basi ule ushindi wa 2005 wa 80% naukatia rufaa!
 
Kinachoshangaza ni kwamba kwa nini walitumia entry point hiyo ya huko mkoani Mbeya ambako ni ngome kubwa sana ya Chadema. Si huko Mbeya ndiko Dr Slaa atahitimisha kampeni yake kwa hotuba tarehe 29.10?[/QUOTE]

Waswahili walisha sema Sikio la kufa halisikii dawa!!!
 
Wadau, niliwaahidi (kataika post yangu # 96) kwamba ningewaarifu kile ningelikipata kutoka kwa swahiba wangu aliye Mby. Kanipigia simu na kuniambia alikwenda police station na kukuta hali tulivi -- hakuna malori au gari yeyote nyingine iliyokamatwa na kupelekwa pale. Alipoulizauliza pale al;ijibiwa hawajui kitu kuhusu suala hilo.

Alimpigia rafiki yake aliye Tunduma naye akamjibu hajui kitu kuhusu tukio hilo kwani hajasikia chochote. Kamwambia apeleleze, naye akamjibu atafanya hivyo.

Mimi nadhani siyo kweli, unless hayo malori bado yako Tunduma na kwamba issue yenyewe imekuwa immediately clamped down na authorities kwani ni very devastating.

Mwenye habari zaidi atueleze ama sivyo tuamini kama ni uzushi tu.
 
Habari zilizozagaa kwenye tovuti mbalimbali ya kuwa TRA wamekamata
shehena ya mfanya biashara maarufu wa kampuni ya AZAM Bw. Said Bakhresa,
kuwa lori lake lilisheheni karatasi za wapigakura ya URAISI ambazo
tayari zimekwisha kupigwa "NDIYO" kwa JK.
 
Wanaweza pia kuwasukumizia wapinzani kwamba ndiyo wahusika kwa kusema kwama lengo lao eti ni kupata huruma ya wapiga kura, au kwamba tukio hilo lisababishe kufutwa kwa uchaguzi ili kuwaokoa wapinzani kushindwa! Hawa watu wanaweza kufanya na kusema chochote kwani maji yako shingoni. Kumbukeni suala la Shimbo!

Uzuri wametumia magari ya Bakhresa hivyo kuwasukumizia wapinzani haitawezekana. Hili ni sikio la kufa tu........!!!
 
KIkwete Kinana na Makamba ole wenu mkiipeleka nchi yetu kwenye umwagaji wa damu historia itawahukumu, kuna tetesi kuwa watu wengi wamepelekwa kwenye kozi fupi Afrika kusini kutoka jeshi la polisi na jeshi la ulinzi inawezekana ndio walikwenda kufanya oda za hizo karatasi za kura,Makame na Kiravu mumebeba dhamana ya nchii iepusheni nchi yetu kwenye umwagaji wa damu Kikwete usije ukapanda maiti kurudi ikulu kipindi cha pili vusha nchi hii vizuri kwenye mabadiliko utaheshimika zaidi duniani
 
Wakati karatasi za kupigia kura (ballot papers) katika uchaguzi mkuu wiki ijayo zinatarajiwa kuletwa wiki hii kutoka Afrika kusini, ambako zilichapishwa, maridhiano ya kisiasa zanzibar na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepata changamoto la kwanza katika kuelelekea uchaguzi huo.
 
Uzuri wametumia magari ya Bakhresa hivyo kuwasukumizia wapinzani haitawezekana. Hili ni sikio la kufa tu........!!!
Nilidhani Bakhresa ni mtu rahimu sana mtu wa dini kwa nini anataka kuchafua heshima yake aliyojiwekea kama mtu wa watu maajabu makubwa
 
KIkwete Kinana na Makamba ole wenu mkiipeleka nchi yetu kwenye umwagaji wa damu historia itawahukumu, kuna tetesi kuwa watu wengi wamepelekwa kwenye kozi fupi Afrika kusini kutoka jeshi la polisi na jeshi la ulinzi inawezekana ndio walikwenda kufanya oda za hizo karatasi za kura,Makame na Kiravu mumebeba dhamana ya nchii iepusheni nchi yetu kwenye umwagaji wa damu Kikwete usije ukapanda maiti kurudi ikulu kipindi cha pili vusha nchi hii vizuri kwenye mabadiliko utaheshimika zaidi duniani

Hawa uliowataja ni frontmen tu. Hukuwataja wale behind the scenes -- wahindi kama wanne hivi mafisadi papaambao ndiyo wenye uchu mkubwa JK aendelee kwenye usukani, na ambao ndiyo wana-finance harakati zote hizi chafu!!!
 
Habari zilizozagaa kwenye tovuti mbalimbali ya kuwa TRA wamekamata
shehena ya mfanya biashara maarufu wa kampuni ya AZAM Bw. Said Bakhresa,
kuwa lori lake lilisheheni karatasi za wapigakura ya URAISI ambazo
tayari zimekwisha kupigwa "NDIYO" kwa JK.

Mungu ni mwenye heri ,mkuu aliyetukuka nani angetegemea idara ya serikali ingeweza kukamata karatasi hizo hizo ni nguvu za mwenyezi Mungu anaepusha shari ambayo KIKWETE,KINANA,MAKAMBA,SALMA,RIDHIWANI,MIRAJI,NA MSEKWA wanataka kuifanyia nchi yetu ,Karatasi zote zimeenda kutengenezwa africa ya kusini na kumbe walitaka zitengenezzwe huko ili washinde kwa ghiliba tunaamini yale aliyosema SUMAYE kuwa mtu anayeingia madarakani kwa karamu hata taka kutoka mpaka kwa mtutu wa bunduki shame on you KIKWETE ,we ni mtu hatari sana kwa usalama wa nchi yetu unataka kubaki madarakani kwa gharama yeyote historia haitakusamehe kamwe kwa unavyopeleka nchi yetu nzuri kwenye kaburi
 
jamani hii habari ni ya kweli ama, mbona inaenda kama ya ukweli lakini mwisho anakuja mtu na uthibitisho kuwa ni habari ya uzushi, hebu jamani tutafute jibu la hii kitu
 
Nakumbuka makala moja ya mwanahalisi na KUBENEA.Huyo mwandishi mimi naamini mungu atamlipa mema mengi pamoja na kuchukiwa na mafisadi, huyu bwana aliwahi kusema hilo kuwa kuna mipango ya kifisadi ya kuchapa kura AFRICA KUSINI.Ninamuomba ikiwezekana gazeti lake wiki hii liwakumbushe watanzania ili wajue kuwa KUBENEA ni Mzalendo wa kweli.
Mimi huwa namfananisha na mwandishi wa kin-Nigeria aliyejukana kwa jina la Ken sarawiwo aliyeuawa na San Abacha miaka ile alikuwa mwandishi wa makala za mazingira.
Heko Kubenea hebu tujuze kwa undani maana hatimaye yamekuwa kweli.
 
" ........ Wadau huu ni ukweli mtupu magari mawili ya a.a.bahresa(named azam on board)t 501aem na t 263 ajn yako hapa kituo kikuu cha polisi mkoa mbeya,binafsi nimeona hizo karatasi za kura ambazo jk kapigiwa kura ya ndio na ziko kama karatasi milioni tano kwa haraka haraka hope police watatoa taarifa kamili,wametutoa nje sijui wanazichakachua "

bado hujaona?

piga picha mkuu tuiweke kabisa kwenye kumbukumbu!!
 
Taarifa kutoka Tunduma, mpakani mwa Tanzania na Zambia mkoani Mbeya zinasema kuwa lori la kampuni ya Azam linalomilikiwa na mfanyabiasha maarufu Bakhresa leo hii tarehe 18 Oktoba, 2010, limekamatwa likiwa na shehena kubwa la karatasi za kupigia kura zitakazotumika uchaguzi mkuu Oktoba 31.

Maafisa wa TRA tunduma walishtuka baada ya kukuta karatasi hizo za kupigia kura zimefichwa kwenye shehena ya vipodozi. Inasemekana kuwa mzigo huo wa karatasi za kupiga kura ulitokea Afrika Kusini na ulipakiwa kwenye gari la Azam kutoka kwenye gari lililotoka na mzigo kutoka Afrika Kusini.

Taarifa zinasema kuwa lori hilo la Azam linashikiliwa na TRA na mzigo huo umekuwa sealed. Kuna hofu kuwa vigogo wenye njama za kuiba kura wanaweza kujaribu kufuta ushahidi kuhusu kukamatwa kwa karatasi hizi za kupiga kura.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, karatasi hizo za kupiga kura tayari zimewekewa tiki kumchagua Jakaya Kikwete wa CCM na lengo ni kuwa zisambazwe kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini na zihesabiwe kama kura halali.

Tafadhali mwenye taarifa zaidi kutoka mpakani Tunduma atupatie ukweli wa jambo hili.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

Mhhhhh yaweza kuwa kweli!!!!!????? Nafikiri Tunduma kuna wawakilishi karibu wote wa vyama vya upinzani kama sio CUF na CHADEMA, Je hawawezi fuatilia habari hii na tukapata ukweli juu ya habari hiii. Nafikiri pia kuna waandishi kibao huko wa TBC, ITV, na hata wenye Blogs binafsi je hamjafuatilia tu kujua ukweli juu ya habari hiii, au sio hot news??? HOFU YANGU NI MOJA TU JUU YA HABARI KAMA HII; HAINA RELIABLE SOURCE. Pia ISIJE KUWA KAMA YA MWAKA ULEEEEEE TUKAAMBIWA KARATASI ZA KURA ZA KICHINA!!!!! UKIMPIGIA KURA MPINZANI INABADILIKA NA KWENDA KWA MGOMBEA WA CCM!!!!!
 
Back
Top Bottom