Uvujaji wa aina hii ni kero

mchapa shughuli

JF-Expert Member
May 19, 2011
549
422
Habari wanaJF,
Kuna tabia nimekua nikiendelea kuiona ya madereva wa magari ya serikali ku-misuse viyoyozi vya magari hayo.Jana nikiwa maeneo ya posta nilushuhudia gari STK 3620 VX likitumia kiyoyozi kwa muda wa saa 2 bila kuzimwa huku bosi akiwa gorofani kwenye kikao na kumwacha dereva akitumia kiyoyozi hicho sehemu ya maegesho ya gari bila kujali uharibifu wa mafuta na gharama yake kwa sasa.Hii ni mara ya tisa sasa nikiona ubadhirifu wa aina hii kwa magari ya serikalini.
 
Ndo bongo yetu hiyo unakula na kujivinjari unapofanya kazi
 
Malalamiko mengine bwana? sasa dereva amebaki kwenye gari na joto la posta lile unataka azime AC aendelee kuvuja jasho bila sababu? Kama ni hivyo basi mabosi nao wawaambie kabisa madereva wao muda watakaoutumia kwenye vikao, ili madereva waende wakatafute mahali pa kupumzika wakati wanasubiri mabosi wao wamalize vikao. Hata kama mimi ndo ningekuwa dereva wala nisingekubali kuumia na joto wakati AC ipo. Yaani nyie mmeona la AC tu kuliko mamilioni ambayo watu wanalipana bila kufanya kazi?
 
mkuu hiyo mbona cha mtoto, sehemu nyingine wananyonya na mafuta wanauza, kwa kanda ya Ziwa hili ni maaerufu kama KUPIGA NYOKA! WALA USISHANGAEV BANA!:dance::dance::dance:
 
Malalamiko mengine bwana? sasa dereva amebaki kwenye gari na joto la posta lile unataka azime AC aendelee kuvuja jasho bila sababu? Kama ni hivyo basi mabosi nao wawaambie kabisa madereva wao muda watakaoutumia kwenye vikao, ili madereva waende wakatafute mahali pa kupumzika wakati wanasubiri mabosi wao wamalize vikao. Hata kama mimi ndo ningekuwa dereva wala nisingekubali kuumia na joto wakati AC ipo. Yaani nyie mmeona la AC tu kuliko mamilioni ambayo watu wanalipana bila kufanya kazi?
Haya aisee kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake ila tusilalamikie ufisadi wowote yaonesha hizi ndio tabia zetu,tukiwa hatuna kitu tunalalamika mno ila tukipata rungu tunasahau ni ubadhirifu tu..
 
Mkuu unashosema ni kweli, kwavile wanajua ile bajeti ya OC (Other charges) bado ipo na wanachofanya ni kuhakikisha wanaitumbua vilivyo. Cha ajabu ni kwamba mabosi wanaandaa mikakati ya kuweka kwenye makabrasha na siku ya siku watakuambia fedha ya utekelezaji haipo. Hii ndo tanzania ambayo mibango mingi sana lakini utekelezaji ni ziro.
 
Kweli hizo OC zingebanwa na kiasi kingine kiende mambo muhimu halafu tungeona hayo mafuta ya kuchezea wangetoa wapi..
 
Mleta mada uko sahìhi kabisa,yani tumeacha kodi yetu ipotee kihuni. Yani uwa napita pale mbele ya national audit opposite kuna wizara pale,kuna stk zaidi ya 7 hukaa pale na gari ya waziri na naibu waziri. Cha ajabu eti kama lisaa kabla ya bosi kutoka ofsini gari huwa tayari imewashwa! Ina maana hawa madereva hawana mawasiliano kujua anashuka ghorofani baada ya mda gani? Juzi tu nliona gari ya Mwakyembe hapo hapo ikimsubiri,nkaenda kitega uchumi nkamaliza kilichonipeleka,nkarudi pale nbc baharini,alaf wakati narudi ndo nkakutana na gari imeshambeba pale ppf towers,sasa fikiri muda gari ilivyokuwa on!! Acha wakati bosi anasubiriwa ok. Sasa nenda pale wanakopenda kula madereva wa serikali yan magenge yaliyopo ohio kuanzia pale SouthernSun Hotel,zaman holiday inn mpaka karibu ocean road mida ya mchana utakuta madereva wanakula kiyoyozi wakimsubiri mtu akila,na aibu wengine wanamabinti wa ifm kwenye viyoyozi pale baharini. Sina wivu ila roho inauma kwa misuse ya mafuta yetu!
 
lakini mbona zamani hii tabia haikuwepo na AC ndani ya gari za serikali zilikuwepo au ndio utandawazi umechangia..
 
malalamiko mengine bwana? Sasa dereva amebaki kwenye gari na joto la posta lile unataka azime ac aendelee kuvuja jasho bila sababu? Kama ni hivyo basi mabosi nao wawaambie kabisa madereva wao muda watakaoutumia kwenye vikao, ili madereva waende wakatafute mahali pa kupumzika wakati wanasubiri mabosi wao wamalize vikao. Hata kama mimi ndo ningekuwa dereva wala nisingekubali kuumia na joto wakati ac ipo. Yaani nyie mmeona la ac tu kuliko mamilioni ambayo watu wanalipana bila kufanya kazi?
ashuke asome magazeti na gari izimwe

huu ujinga mwingine bana... Wangekopeshwa hayo magari halafu uone kama wangekua wanakuja nayo mjini
 
Back
Top Bottom