Uvujaji wa aina hii ni kero

it pains to realyz dat da tax we pay flee juc lyk dat,....bt let me ask,....y tucwe wawaz?badala ya kuja kusema huku jf only,ungemtel huyo jamaa (dereva) live kuwa kama vp azme hyo AC atoke nje ya gar....inauma najua lkn tukiwa tunaambiana wenyewe tu kero haztawafikia walengwa instd tuwe tuna watell kizalendo zaid,,..au co?
 
Ni kweli ila majibu mtayojibizana yatakufanya upoteze ari ya kufanya kazi kwa siku hiyo,ni bora OC zipunguzwe wataacha hiyo mambo sababu hakutakuwa na hela za kuchezea tena..
 
Wajinga ndio waliwao. WaTZ bado ni wajinga. Na bado tutaendelea kuwa wajinga kwa mtindo huu.
 
Habari wanaJF,
Kuna tabia nimekua nikiendelea kuiona ya madereva wa magari ya serikali ku-misuse viyoyozi vya magari hayo.Jana nikiwa maeneo ya posta nilushuhudia gari STK 3620 VX likitumia kiyoyozi kwa muda wa saa 2 bila kuzimwa huku bosi akiwa gorofani kwenye kikao na kumwacha dereva akitumia kiyoyozi hicho sehemu ya maegesho ya gari bila kujali uharibifu wa mafuta na gharama yake kwa sasa.Hii ni mara ya tisa sasa nikiona ubadhirifu wa aina hii kwa magari ya serikalini.

Ni UFUJAJI na si UVUJAJI
 
Back
Top Bottom