Mkuu kwani na wewe ni cha pombe?
Kwani ridhiwani si ni Shehe au kageuka Ahmada maana kwenye night club anatafuta nini?mwanaye mkulu ridhiwani kikwete inasemekana katoa tamko tata kwamba CHADEMA wanachezea wembe mkali. Kijana huyo inasemekana katamba katika kilabu cha pombe moja hapa mjini kwamba serikali imejipanga kushulikia Chadema na kiherehere chao hadi wasalimu amri kwani wamekuwa wazushi mno na wachafua amani. Hivi ridhiwani ni nani?
mwanaye mkulu ridhiwani kikwete inasemekana katoa tamko tata kwamba CHADEMA wanachezea wembe mkali. Kijana huyo inasemekana katamba katika kilabu cha pombe moja hapa mjini kwamba serikali imejipanga kushulikia Chadema na kiherehere chao hadi wasalimu amri kwani wamekuwa wazushi mno na wachafua amani. Hivi ridhiwani ni nani?
Safi uvccm! Chadema imejaa viongozi wahuni hawatumiii akili wamesababisha mauaji ni kujitafutia umaarufa tu wahuni wakubwa!
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, leo, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM,Zainabu Kawawa.
Swali: Huu ndio msimamo wa "viongozi wetu" wa kesho?
Hawana lolote wanasubiri kurushiwa mabaki ya mifupa na wazazi wao kama mbwa.lile lile genge la wahuni.....mbona hawalaani ..wizi mkubwa unaofanywa na wakubwa zao....hawana uchungu na tanganyika yetu...wanangoja walithishwe viti.wale nao
Safi uvccm! Chadema imejaa viongozi wahuni hawatumiii akili wamesababisha mauaji ni kujitafutia umaarufa tu wahuni wakubwa!
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;
Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!
Naam:
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.
Maoni yenu tafadhali