UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

Huyo Kinda wa Mkwere mbona anataka kuvuruga wananchi? Taifa liko kwenye simanzi, msiba na huzuni nzito bt mbona yeye anataka kuongeza msiba? Anatoa tamko kama nani? Kwa nani? Na kwa mamlaka ipi?

Mbona anatulazimisha nasisi tutoe kuwa alipata degree ya Pass, tena kwa kubebwa na huyo Mchaga mjinga.

Sijawahi kuona wachaga wapuuzi ila huyo kijakazi wa Ridhi amedhalilisha jamii kubwa ya wasomi wa kichaga kwa kukubali kutumika kama dodoki la huyo mtoto wa Mkwere ili apate kuhemea shibe yake. Beno jisafishe!
 
Ahahahah kweli hii Nchi hii tunahitaji katiba mpya kwa nguvu sana.Yani mtoto wa Rais anakuwa na madaraka yepi ya kutoa tamko kwa Taifa? Je watanzania wote ni members wa UV-CCM? Nchi hii mbona haieleweki?
Haa! mbona bado! Mama Salma atatoa tamko kesho ndio mjue Tanzania ni nchi ya Kifalme.
 
Riz1 anaongea yeye kama nani? Wewe baba yako kututawala basi na wewe unataka kututawala. Kaa nyumbani kwako ulee familia yako achana na watanzania nyang..........weh!! Napatwa na kizunguzungu nikisikia habari ya huyu mtu. Wewe tukutane The Hague na mafisadi wenzako bila kusahau baba yako. Ulimbukeni utakuponza fi.........

Dogo anachemka!...mbaf!
 
Nape ni full kilaza. Here's his resume: Alimaliza sekondari Nsumba akapata Four. Obviously asingeweza kujoin form five. So kwa msaada wa Mzee Nnauye akabangaiza mtaani combination ya PGM na mwaka 2000 May akafanya mtihani Mwenge sekondari akabahatika kupata Daraja Zero. Nilipotezana nae kidogo baadae nikamsikia UVCCM, then akajoin chuo cha Diplomasia Kurasini, sijui ikawaje nikasikia yuko Bangalore anasoma Saikolojia!
Anayoyaandika yanalingana na ufahamu wake. Msimuonee. Full opportunist na ni kilaza, asitupotezee muda.
 
Machozi yamenitoka gafla juu ya nchi ya Tanzania.Je Nyerere hakua na watoto?Je Mwinyi hana watoto?Mkapa hana watoto?Mbona wao hawaonge sana?Je urais umekua wa kifamilia?Hilo tamko si angetoa kwa dada zake?Watanzania wangapi maskini alafu baba yake hajui ni kwa nini?Yeye kashiba ndio maana ana nguvu ya kutoa tamko,je yule mwenye njaa afanyeje?Je waliouawa na police kwa Risasi anasingizia chadema?Hatuache wakati tunatafakari machungu ya kunyanya swa ktk nje yetu
 
Dah! Watu wamemtolea uvivu hadi amefuta "status" yake... Ama kweli Watanzania sasa hawataki ujinga kabisa...
 
Jamani kweli tunamchambua idiot kama Nape. Please! Nape is opportunist kama Ridhiwani, wote hawa ni product wa nepotism. This young and idiotic mind has never achieved anything in their life. Hawajawai hata kutafuta pesa ya toilet paper, this idiot babies ni product of corrupted system.

Naomba tusipoteze muda kujadili wehu kama huyu. I am so disappointed mpaka nashindwa kuandika. But all in all let us not give coverage insane like Nape and Riziwani because hawa wote ni product wa tricle down system ya CCM.

Hawa wapuuzi ndio JK anakwenda kuwaweka kama watendaji wa serikali. How in the world, a failure can deliver the success story? Haiwezekani, sababu nape ni failure since i can remember, sasa atawafanyia nini hao wananchi anaowaongoza? JK anagawa vyeo kwa vimadana, marafiki zake, mahawara na wapuuzi wengine include Nape. Kisha tunategemea JK atajua why Tanzania is poor? Nape who happened to be JK choice is total stupid, so how can he eliminate poverty?

I need to go out and have a coffee...
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Maoni yenu tafadhali

nami nimeona hii, sasa amefuta baada ya wanaharakati kumshambulia nafkiri hakua makini.
 
mjinga ndiyo maana ametoswa na ccm

Niambie bendera ya Taifa kubwa dunia isiyo na rangi Nyekundu

USA, Russia, Japan, China, Uk etc Haka katoto kamalaya tena ka-kigay

Hivi hamuwezi kujibu hoja bila lugha ya matusi?
 
BENDERA MPYA YA CHADEMA​

flag1.jpg


Muundo wa Bendera​

  1. Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu.
  2. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa maendeleo ya taifa.
  3. Rangi ya BLUU ISIYOKOZA iko juu ya rangi NYEKUNDU kama ishara kwamba kama taifa tumevushwa na mashujaa kuelekea katika jamii yenye haki, na wakati wote CHADEMA imevuka hatua kama chama cha siasa na sasa inasimamia haki.
  4. Rangi nyeupe iko mbele ya rangi zote kama ishara kwamba chama kinatanguliza UKWELI NA UWAZI katika nyanja zote. Pia rangi nyeupe imebeba nembo ya chama kwa kuwa UKWELI NA UWAZI ni misingi muhimu sana kwa chama. Nembo ya chama iko mbele kama kama ishara ya CHADEMA kuwa chama kiongozi katika kuchochea misingi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika Taifa.
  5. Rangi zingine zinatenganishwa na ufito mweusi ambao unaumbo la "T" ikiwasilisha kifupi cha jina la taifa la Tanzania.
Rangi za Bendera
NYEUSI
Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE)
Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NYEUPE
Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia.
NYEKUNDU
Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu.
 
Naangalia channel 10,namwona mtoto wa mkwere na kijakazi wake,wanatoa tamko la mauaji ya Arusha,naomba wasiwe biased,watoe pia tamko juu ya rada,kupanda bei ya umeme pamoja na malipo haramu ya dowans,mana waziri wao 6,ameshasema ni kwa mafisadi 3,..acheni unafiki,watz wa leo waelewa

Rada, hujui tamko la serikali au tulirudie humu? Kupanda bei ya umeme, hujui tamko la serikali au tulirudie humu? Kwa nini malipo ya Dowans ni haramu? wanfik na vizabizabina nadhani unawaelewa ni kina nani.
 
Huyu mtu hana akili kama baba yake, tatizo yeye na mwenzake malisa ni mbumbumbu wenyewe uwezo mdogo sana wa kufikiri
 
Naangalia channel 10,namwona mtoto wa mkwere na kijakazi wake,wanatoa tamko la mauaji ya Arusha,naomba wasiwe biased,watoe pia tamko juu ya rada,kupanda bei ya umeme pamoja na malipo haramu ya dowans,mana waziri wao 6,ameshasema ni kwa mafisadi 3,..acheni unafiki,watz wa leo waelewa

Na kile kiwanja chake alichopata Burka kwa ufisadi asije kujenga wala kuishi huku Arusha. Tutamchomea ndani!
 
mwanaye mkulu ridhiwani kikwete inasemekana katoa tamko tata kwamba CHADEMA wanachezea wembe mkali. Kijana huyo inasemekana katamba katika kilabu cha pombe moja hapa mjini kwamba serikali imejipanga kushulikia Chadema na kiherehere chao hadi wasalimu amri kwani wamekuwa wazushi mno na wachafua amani. Hivi ridhiwani ni nani?
 
Back
Top Bottom