UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

"Gossip is easy, politics is hard". Kwama yana ukweli atatoa tamko rasmi tusipoteze nguvu kujadili mambo ya baa/vilabuni. CDM ni chama cha wasomi wenye uwezo wa kujenga hoja sio jsut nonsense talks
 
mwanaye mkulu ridhiwani kikwete inasemekana katoa tamko tata kwamba CHADEMA wanachezea wembe mkali. Kijana huyo inasemekana katamba katika kilabu cha pombe moja hapa mjini kwamba serikali imejipanga kushulikia Chadema na kiherehere chao hadi wasalimu amri kwani wamekuwa wazushi mno na wachafua amani. Hivi ridhiwani ni nani?
Kwani ridhiwani si ni Shehe au kageuka Ahmada maana kwenye night club anatafuta nini?
 
Ukigonga hodi getini Mbwa akaanza kubweka,mwenye Nyumba akija getini,wewe utaongea na nani? Mbwa au Mwenye Mbwa?
 
mwanaye mkulu ridhiwani kikwete inasemekana katoa tamko tata kwamba CHADEMA wanachezea wembe mkali. Kijana huyo inasemekana katamba katika kilabu cha pombe moja hapa mjini kwamba serikali imejipanga kushulikia Chadema na kiherehere chao hadi wasalimu amri kwani wamekuwa wazushi mno na wachafua amani. Hivi ridhiwani ni nani?

acha umbeya. Mlipokuwa naye si mlikuwa kitu kimoja, mnakenua meno tu kwa pombe za bure! Kula uliwe, baba yake alishasema
 
Lazima kuwe na ushahidi wa kutosha mtu anapotuhumiwa, Ridhiwani sio mlevi na wala hajawahi kufika bar yoyote!
 
1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, leo, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM,Zainabu Kawawa.

Swali: Huu ndio msimamo wa "viongozi wetu" wa kesho?
 
Safi uvccm! Chadema imejaa viongozi wahuni hawatumiii akili wamesababisha mauaji ni kujitafutia umaarufa tu wahuni wakubwa!
 
Yaani Kikwete ni KIongozi wa kwanza Tanzania kuweka mwanawe katika uongozi yeye akiwa bado ni Rais.
 
lile lile genge la wahuni.....mbona hawalaani ..wizi mkubwa unaofanywa na wakubwa zao....hawana uchungu na tanganyika yetu...wanangoja walithishwe viti.wale nao
 
lile lile genge la wahuni.....mbona hawalaani ..wizi mkubwa unaofanywa na wakubwa zao....hawana uchungu na tanganyika yetu...wanangoja walithishwe viti.wale nao
Hawana lolote wanasubiri kurushiwa mabaki ya mifupa na wazazi wao kama mbwa.
 
wanahitaji msaada wa kusaidiwa kutafakali mambo ndipi afikie hatua ya kuzungumza uwezo wao ni zero
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Naam:

1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.

Maoni yenu tafadhali

Hivi wewe Beno Unajua yanayo toke huko arusha au umekuwa kijana mzee akili zimebakia pale pale na ndio maana UVCCM imekumbwa na wajinga wengi wanao support upuuzi wa watu walio watangulia huku kuna wasomi wengi ndani ya UVCCM na huyo shemeji yangu Ridhwani hamjui mnachokitaka kabisa kwa nyakati hii mtakuja haibika kama hamtosimama na kudai haki zenu za kimsingi na kukali kulamba miguu ya hao wanao toa order ya kurusha mabomu.

Mbona hamkutoa tamko kuusu uchaguzi ila watu waandamanapo ndio mwasema mwalaani hayo ivi mwajua wali uwawa ni wapigakura wale wale ambao mwakani CCM mkijipanga na kutoa sera nzuri ndio hao hao watakao wapigia kura sasa mwapisha matamko mwazania ni sifa kutokea kwa vyombo vya habari mie siwaungi mkono hata kama niko CCM nadhani hiki chama kuna majinamizi yamekivamia yanakura damu za wananchi i mean wapiga kura.

Tatizo la CCM ni chama kina wenyewe wachaheche wengine wanafuata upepo na hao wenyewe wanajaribu kuwanyang'anya walikuwa waanzilishi na kuwaona hawajui kitu na hawataki kuwasikiliza walio tangulia maana kilia wakiambiwa jamani hapo sio wana jibu nyie kwani mlifanya nini wakati wa uongozi wenu hizo raana zinawarudi mbaya.

UVCCM arusha hawajatoa tamko lolote nyie mlioko dar mumewezaje kutoa tamkoo hao hao wana CCM wawakuta ndio waliokuwa kwenye hayo maandamano kwani ubunge CHADEMA walishinda kwa kishindo which mean hata wana CCM walipiga kura kuichagua CHADEMA na hao CCM kiukweli walimchakachua Batilda na hilo ndio kweli hiyo dhambi itawsuta CCM arusha na wala sio UVCCM arusha kwani twajua fika hakushirikishwa kwenye kampeni za Mama batilda kwaniu kulikuwa na mpasuko na mpaka sasa twajua mpasuko upo huko na ujaisha kwani hakuna hata kikao kilicho kaaa kujiuliza kwanini CCM walishindwa arusha mjini na kwa historia CCM hua haishindi jimbo hilo ni kuiba kura mahakamani kwani msijipange mkajiuliza kulikoni wananchi au wapiga kura wanataka nini? onene huku Mwanza maamuzi yalivyotoka live hadi Mayer na katibu Mayor CHADEMA mbona huku UVCCM hamjatoa tamko kuwa uvccm Nyamagana au Ilemela imesaliti chama?????

UVCCM msiongeee kama hao wazeee waliopo madarakani kwa uchu wa tamaazao mwapaswa ongea kama ndio vijana wa taifa la leo na siku zijazo lini mtaacha kuburuzwa na hao viongozi walio juu yenuuuu?? au ni njaaaa ndio zawasumbua UVCCM acheni kuwa wavivu wa fikra amkeni
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Naam:

1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.

Maoni yenu tafadhali

Hawa wanaoitwa vijana halafu wanakaa kwenye ofisi chafu namna hiyo, na hup waya kwenda kwenye switch na switch yenyewe viko nje nje, nna uhakika humo ofisinni hata computer hamna (This is just form a limited angle of view ndani ya hiyo ofisi). Badala ya kurekebisha haya wao wako bize na matamko tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom