UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Naam:

1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.

Maoni yenu tafadhali

Hapo anayeongea ni Ridhi huyo ni spika yake inatoa sauti tu na hao wengine sabufa za spika kwahiyo heading isomeke Ridhiwani alahani mahandamano ya CDM
 
UVCCM: Umoja wa Vijana wa Chama cha Mafisadi. Hongereni kwa tamko lililokosa mashiko. Shetani ataendelea kuwapigania daima ili mwisho wenu uwe mbaya.
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Naam:

1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.

Maoni yenu tafadhali

Huyo kaperekwa huko kijijini akapumzike mambo ya town atuachie sisi
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Naam:

1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.

Maoni yenu tafadhali

Angalia walivyokaa, utadhani wamejinyea!! Wanaujua ukweli,na bahati mbaya kwao ni kwamba wakati tunadili nao, baba zao watakua wameshatangulia mbele za haki...
 
Sipendi ccm wanavyoitumia picha ya baba wa taifa. Coz hawayatekelezi mawazo yake. Kifo chenu kinakuja.
 
hivi uvccm wote watoto wa vigogo?

kwa hio wao wanaona raha ss wanyonge tukiteseka ila wajue anguko lao limetimia
 
Nawaonea huruma kwani ni hatari sana kung'ang'ania kuwaongoza raia wasiokuwa na imani na wewe hata ufanye jema la aina gani. Wataisoma muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom