UVCCM: Rostam anyang'anywe uraia na kufukuzwa nchini

Kusema kwambakuna mafisadi wengi hakumuondolei huyu Rostam madai anayodaiwa kuhusika nayo,hivyo anyang'anywe kwanza uraia kwanza, mengine yafuate na si kwa sababu wengi wana kosa kama yeye basi tuchekeleeee makosa,
he canbe used as anexample2 stimulate other measures.
 
Kichuguu napenda kukufahamisha Urai wa Rostam Iran na hii ni kwa mujibu wa Mchungaji Mtikila, mara baada ya kutoa taarifa hiyo ya Uraia Rostama alikana na kudai ma babu zake na familia yake ipo Igunga zaidi ya miaka 100 na wakifanya biashara na alitishia kumpeleka mahakamani mch mtikila, Mtikila aliibuka na kumwambia atangulie na yeye ana ushahidi wa kutosha mpaka vivuli vya pasipot uake ya zamani ya Iran anayo, nakumbuka ubishani huu ulianza kipindi CCm imemteua kuwa Mhazini wa Chama na mara baada ya mabishano haya hakuchukua muda Jakaya akafanya mabadiliko ndani ya chama na kumuengua Rostam na akina Jakamwambi na wengine.

Kwa hoja hii inathibitisha kuwa RA sio Raia wa Tz
 
Jamani mmeona taarifa ya ITV jinsi UVCCM walivoongea live kuhusu Rostam Aziz kuondoka haraka sana hapa nchini? Mwalionaje hilo ni unafiki au wanamaanisha? Au ndo JF imewachallenge to that extent?
Kama UVCCM wana ubavu basi wadai DPP atoe hadharani majalada ya kesi za mafisadi 11 wa SHAME LIST ya CDM!!!!!!!!!! Madai ya Rostam Aziz kufukuzwa nchini ni matokeo tu ya dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM na taasisi zake zote!!!!!!!!!!!!!! Kweli nchi chini ya CCM imekwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CCM is a dying horse!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kusema kwambakuna mafisadi wengi hakumuondolei huyu Rostam madai anayodaiwa kuhusika nayo,hivyo anyang'anywe kwanza uraia kwanza, mengine yafuate na si kwa sababu wengi wana kosa kama yeye basi tuchekeleeee makosa,
he canbe used as anexample2 stimulate other measures.
Hapo penye red ni patamu jamani!!!!!!!!! Serikali ni ya akina Nape, waanze basi mchakato wa kumfukuza Rostam Aziz nchini tuone kama Ban- Ki- Moon na Asha-Rose kuwakoromea-waanze basi wanangoja nini???????????????
 
Vijana wa CCM ni wapuuzi kweli kweli, na hiyo inaonyesha jinsi uongozi wa CCM ulivyo kwani akina Nchimbi na Makala walianzia huko huko vijana. Wanataka Rostam anyang'anywe uraia na kufukuza nchi ili aende wapi ilihali yeye ni raia wa Tanzania na mbunge wa Igunga?.

Kweli mkuu, Kwani Rostam ana kosa gani? Mwizi..., Kamwibia nani? Watanzania..., Kawaibieje? Ali-form kampuni hewa ikasajiliwa haraka na BRELA, halafu ikachukua ma-billion BoT. Sasa hapa mwenye kosa ni BRELA, BoT au waliompa miradi (Waziri - N&M, etc)? Watanzania tunatatizo kubwa la kushughulika na matokeo badala ya kuangalia "the root cause".

Rostam ni fisadi lakini waliotuibia ni msururu mrefu wa watumishi wa umma na CCM. Hawa wanapitishia pesa kwake halafu yeye ndo anaonekana mwizi machoni mwa watanzania, na mwingine anasema anyang'anywe uraia. Eti kisa aliwahi kuhamisha familia yake, hili ni la ajabu. Je, kama walikwenda kusalimia ndugu zao walioko kule? Tuache ushabiki, tuseme ukweli, huyu jamaa arudishe pesa alizopewa isivyohalali na waliompa wachukuliwe hatua. CCM wazomewe popote watakaposima au wawawajibishe watumishi wa umma waliohusika, maana wao ndo chama - serikali.
 
haiwezekani tukubali kuwa rosti tamu si raia wakati tayari wenzetu kule igunga wamemwamini na kumpatia uwakilishi bungeni.huyu ni raia wa tz, hawa ccm wasituzuge wamegundua kuwa wamelikoroga kwa kumtosa rost tamu(ra) na wana hofu kisanduku cha habari za ufisadi sasa huenda kikafunguliwa kwani anacho jamaa rost tamu(ra)

hatoki mtu hadi ushahidi atoe mahakamani
 
Nchi hii sio pori la manyang'au ambapo mtu anaamka na kurusha maneno ya kijinga kama vile hatuna sheria za nchi. Hawa vijana wa CCM inabidi wakanywe, waonywe na wasutwe mapema.
 
Mjumbe wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro Paul Makonda ameomba serikali imnyang'anye Rostam uraia na kumfukuza nchini

Source radio one news
Makonda afunge domo lake kwani KAGODA ilimwingiza IKULU JK sasa kivipi afukuzwe???
jk anaelewa fika ni kivipi RA alimsaidia kifedha na kihabari kumbukeni magazeti yalivyowachafua wapinzani wa JK ndani ya ccm
 
Uzuri ni kwamba Rostam katika dili zote alizopiga alikuwa anahakikisha kuwa anawahusisha pia viongozi wa Serikali na walioko katika nyadhifa kubwa Serikalini sasa sijui who has those guts kuanza kumwambia ondoka, Kikwete mwenyewe kwenye dili za RA yumo, RA is very clever dude
 
Mimi nafikiri wametumia neno baya [ kujivua gamba] anaejivua gamba ni nyoka na nyoka ni adui wa Binadamu [Watanzania] kwahiyo hawatufai hawa nyoka tena [Black Mamba] dawa ni kuwakataa kabisa kuepuka kuendelea kuumwa na nyoka hawa.

Fasihi ipo hapa? Au ingekuwa Ccm wajivua ngozi ingeleta maana. Mi naona lugha iliyotumika anaendana kabisa na tukio husika mkuu...
 
Nyani naona unatafuta sifa hapa!!Rostam ni fisadi namba moja aliefundisha wengine kuwa mafisadi.therefore we want to down the ROOT!
Unajidanganya wewe Rostam kafundiswa tena na ccm wenyewe sema yeye ndo jalala ccm walikuwa wanamtupia kila kitu yeye! anzeni chini kusafisha na vp wanaotumia vibaya lasilimali za ccm nchiki kote ni rostam!? CCM KUJIVUA GAMBA KWAKE MPAKA KIWE CHAMA PINZANI HIZI ZINGINE NI SANAA TUU TUMEZIZOEA.
 
Uzuri ni kwamba Rostam katika dili zote alizopiga alikuwa anahakikisha kuwa anawahusisha pia viongozi wa Serikali na walioko katika nyadhifa kubwa Serikalini sasa sijui who has those guts kuanza kumwambia ondoka, Kikwete mwenyewe kwenye dili za RA yumo, RA is very clever dude

Just a matter of time, wait and see what 90 days will come with. You might be wrong, sir...
 
Kama kujivua gamba kwenyewe ndiko huko basi wataumia wengi.

Mimi naona ni vizuri busara zaidi itumike kwani tuiachie vyombo vya usalama ikiwa pamoja na mahakama vitumike kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote. Yaani nasisitiza kufuata utawala wa sheria,

Kufukuzana sio uungwana
 
Kama UVCCM wana ubavu basi wadai DPP atoe hadharani majalada ya kesi za mafisadi 11 wa SHAME LIST ya CDM!!!!!!!!!! Madai ya Rostam Aziz kufukuzwa nchini ni matokeo tu ya dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM na taasisi zake zote!!!!!!!!!!!!!! Kweli nchi chini ya CCM imekwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CCM is a dying horse!!!!!!!!!!!!!!!!!

Is that a legal procedure? Au ndo itumike nguvu ya umma mkuu
Sidhani ni dhambi ya ubaguzi, heshima na imani ya Ccm kwa wananchi imekuwa ikishuka siku hadi siku na moja kati ya sababu ni kutowawajibisha watu wenye tuhuma za ufisadi yaani kukuukumbatia ufisadi. Waliotajwa ni wengi lakini kati yao Rostam ni zaidi. Siyo ubaguzi ndiyo maana watu wengi wengine wenye asili ya mataifa mengine hawajahusishwa na wala siyo kwamba Rostam anawawakilisha kama race.
Inapendekezwa Rostam awajibishwe kwa maovu yake, hatua za kisiasa kwenye chama chake sawa ili kujivua gamba na kurudisha heshima yake, lakini zaidi ya hapo nadhani mashitaka ndiyo pendekezo la haki zaidi au kwa nini kijana anapendekeza afukuzwe nchini?
Labda ana sababu nzuri zaidi ya ufisadi kama tunavyohamu kumbe kwa nini hakuzitaja katika mkutano wake?
Zaidi, pengine anawasilisha maoni yake na siyo kuwakilisha maoni ya kikundi fulani Uvccm au Ccm kwa ujumla wake kwa sababu tunafahamu nani hutoa matamko ya jumuia hizo na ndiyo maana kuna mwana Jf mmoja amehoji huyo kijana ni nani.
Nadhani...
 
Rostam ni fisadi, Kikwete ni fisadi, Lowassa ni fisadi, Msekwa ni fisadi, Pinda ni fisadi = ccm wote ni mafisadi (wanatofautina levels & ranks tu)
 
iyo no vita ya panzi wakuu.....acha kunguru afaidi. Nshawaambia chadema walisema tunaweza kufanya nchi isitawalike nyie wenye akili ya kuambiwa mkuhutubia taifa eti mnapinduliwa sasa kumbe hamkujua maana ya mweledi Ndesambulo na cdm,sasa si mlimwaga mboga, subiri tumwage ugali ndo muje kuomba samahani. Tafunana ivo ivo ili 2015 chama tawala kiwe cdm na chama kikuu cha upinzani kiwe Nccr maana chama cha kitaifa(CCM+CUF)kitakuwa mh.marehemu. Jamani chochea tena kuni za kutosha ,wakimbizane wenyewe kwa wenyewe mpaka wakome.......
cHAMA CHA KICHAGA KITAWALE NANI 2015 YAGUJUUUUUUU.
 
Back
Top Bottom