Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,897
- 941
IGUNGA NA SAMIA: UVCCM TABORA WAZINDUA MAPOKEZI KWA KISHINDO
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Tabora Comrade Kelvin Mpiwa ameongoza "Jogging" ya Vijana ikiwa uzinduzi wa mapokezi ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Rais anaanza Ziara ya Kikazi Mkoa wa Tabora kwa kuanzia Jimbo la Igunga ambapo ataweka Jiwe la Msingi kwenye Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) na Kufanya Mkutano wa Hadhara kwenye Uwanja wa Barafu.
Jogging imeshirikisha Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Tabora Ndg. Idd Moshi, Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Igunga Comrade Kimali Busagala, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Tabora Comrade Salama Mhampi, Mjumbe wa Baraka la UVCCM Taifa Comrade Glory Katalambula na Vijana wa Hamasa wa Wilaya ya Igunga na Wilaya za Mkoa wa Tabora.
#KAZI NA MAENDELE
#KAZI IENDELE
Attachments
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.04.jpeg90.4 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.05.jpeg83.8 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.06.jpeg92.7 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.07.jpeg66.1 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.09.jpeg117.5 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.10.jpeg128.4 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2023-10-17 at 09.47.14.jpeg67 KB · Views: 2