Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,882
Topic deleted!
Anuani ipi? Au vichwa vya hanari/masomo yanaitwa anuani siku hizi? Kiswahili kinakua!!!!!!Natafuta mchapishaji wa mswada wangu wenye anuani hapo juu.
Unahusu kunga za ndoa na nasaha kwa bwana na bi harusi.kimepitiwa na mhadhiri wa UDSM{jina nalihifadh kwa vle hakunipa idhini nimtaje hapa}.hufaa kughaniwa kwenye sherehe za kumuaga mwali{send off},kukumtawazo{kitchen party}.ni mithili ya fundo zle ya jando na unyago ila kwa lugha ilovikwa nguo.nisaidien wadau
Natafuta mchapishaji wa mswada wangu wenye anuani hapo juu.