Biashara kuchukua video kwenye maharusi

Naomba kuuliza ile camera inayotumika kuchukua vidio mbalimbali kwenye events kama maharusi,misiba, etc inauzwa sh ngapi pamoja na stand yake na je inalipa?
Ina depend mkuu unataka video za ubora gani na picha za ubora upi na camera unazotaka ni used au mpya

Ila kwa haraka camera kali kwa picha ni kuanzia canon mark 5D iii ambayo kwa used unaweza ipata kwa 2.5m plus lens

Pia usisahau kuna
1:Speed light
2: light
3:reflector
5. Printer kwa ajili ya picha ambayo hii utakuwa unawapiga watu picha wakati wa chakula wewe unaziprint picha zote watu wakitoka tu ukumbini wanakutana na picha zao ambapo picha ya chini unaweza kuiuza kwa 5k

Kimaskini unaweza kuanza hata na 1.5m au 2m ambapo unaweza kupata mark 5d ii na baadhi ya vngne muhimu vya kuanzia
 
Thanks....seen!!!!!
 
Mtalaam hii canon 5D mark ii ilipige picha nzuri zaidi ni lens ipi bora ? Nimependa maelezo yako bila shaka ww unazijulia sanaa izi ..nimeinunua hii kitu kwa personal purpose

Sasa nimechukia ile lens ya 50 mm 1.8 lkn naona haipigi picha ya mbali zaidi yaan zoomi g capacity yake ni ndogo
 
Back
Top Bottom