Utenzi wa maharusi.

Natafuta mchapishaji wa mswada wangu wenye anuani hapo juu.
Unahusu kunga za ndoa na nasaha kwa bwana na bi harusi.kimepitiwa na mhadhiri wa UDSM{jina nalihifadh kwa vle hakunipa idhini nimtaje hapa}.hufaa kughaniwa kwenye sherehe za kumuaga mwali{send off},kukumtawazo{kitchen party}.ni mithili ya fundo zle ya jando na unyago ila kwa lugha ilovikwa nguo.nisaidien wadau
Anuani ipi? Au vichwa vya hanari/masomo yanaitwa anuani siku hizi? Kiswahili kinakua!!!!!!
 
Natafuta mchapishaji wa mswada wangu wenye anuani hapo juu.
Unahusu kunga za ndoa na nasaha kwa bwana na bi harusi.kimepitiwa na mhadhiri wa UDSM{jina nalihifadh kwa vle hakunipa idhini nimtaje hapa}.hufaa kughaniwa kwenye sherehe za kumuaga mwali{send off},kukumtawazo{kitchen party}.ni mithili ya fundo zle ya jando na unyago ila kwa lugha ilovikwa nguo.nisaidien wadau

wewe ni barubaru jinyevuuuuu
 
Usiwe na wasiwasi juu ya hilo.Lakini ungeweza kutuonesha japo mstari mmja tu wa Lugha iliyovalishwa nguo ingependeza zaidi na ingeongeza
wataalamu wengi ambao wangekusaidia.
 
Nb: This thread has been deleted by the one who post it. Thanks!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom