Utamu wa penzi ni yale maugomvi - aisee

Mmmmh kiaje sasa, uzuri gani kwanza? Wa sura? Wa tabia? Wa umbo? Wa rangi? Wa akili? Au ??????.

Hahaaa.....akchuale inaweza kusemwa pia utamu ni kipimo cha uchungu.....ili uone ni kitamu, basi shurti uwe unaujua uchungu......
Huwezi kuijua raha bila kujua karaha inafananaje....
 
Pole mwaya kuna viogomvi na ugomvi, sio ndo kila siku mnagombana mnakoseshana raha, na amani halafu useme ni vizuri hapana, lakini kuna ugomvi unatokea halafu mwisho unajikuta umejifunza mambo fulani fulani kutoka kwa mwenzako, ambayo ukiyafanyia kazi unajikuta umeimarisha penzi lako. Hebu angalia mwisho wa huo ugomvi wenu unabaki na nini moyoni?? Kinyongo? Kisasi? Majereha? Au furaha na akili iliochangamka?

sio siri mwanzo kila hali hiyo ilipotokea niliweza kugundua vitu fulani fulani niliposolve mambo yakawa safi raha na amani ilizidi na upendo wake kwangu kuwa maradufu lakini huu niliosolve jana umenipa amani ila kuna vitu nimegundua nahisi ni vibaya na vinaweza kuwa vipo japo hakukubaliana navyo katika maongezi sasa kuna muda naanza roho yakisasi inanijia.
 
Unajua baada ya kusoma sana ndo naanza kuelewa somo... (Am a slow leaner)...

I will come back with my story (a true one).... Is there any movie directors in the house?
 
Okay sasa nimeelewa...ni kweli mwanzoni vile viugomvi huwa vina raha yake wajua kwa nini? Ni kipindi hicho ambacho kila mmoja wenu bado ana malavidavi na mwenzie. Hivyo akimkorofisha/mkikorofishana kuna ile raha ya kubembelezana wakati wa kuyasuluhisha na unavyojua tena akili ya binadamu inavyofanya kazi...ukibembelezwa kwa maneno matamu ya kuombwa msamaha na kupewa vijisifa vya hapa na pale basi ubongo unasend signalz na messages kunako husika.....ndio maana makutano ya baada ya kusuluhisha ugomvi huwa ya quality ya juu sana!!

But...ni angalizo tu but maugomvi yakiendekezwa kuna kukinai............. mmeshazoeana saaaana na sometimes hata ule umuhimu wa kuombana msamaha hauonekani tena ...mtu akikuudhi akaona umechukia anaamua kuanza mbele ......akajimix na friends/kina eliza viti virefu hadi mama utakapomaliza mnuno au arudi umelala...............kisha mkono unapelekwa kwa chipopo akitanguliza neno moja tu.Am sorry darling...........then game hapo hapo (hakuna ule muda wa kubembelezana kirefu na hata vile vina vya kubembeleza na kukusifia ambavyo ni muhimu katika kusaidia ubongo kutuma messages kwingine hutovisikia tena.......

Au makosa ya kujirudia hata ukisema am sorry tu unaonekana unageresha ........so I think inategemea na umri wa penzi na pia inategemea na aina ya kosa na kama linajirudia rudia.
 
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...

Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'

Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?

Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?

Na mwenzzio akijua kuna nyumba ndogo basi ndo inanogesha zaidi mawivu na mitima nyongo kwangu raha
 
sio siri mwanzo kila hali hiyo ilipotokea niliweza kugundua vitu fulani fulani niliposolve mambo yakawa safi raha na amani ilizidi na upendo wake kwangu kuwa maradufu lakini huu niliosolve jana umenipa amani ila kuna vitu nimegundua nahisi ni vibaya na vinaweza kuwa vipo japo hakukubaliana navyo katika maongezi sasa kuna muda naanza roho yakisasi inanijia.

Pole sana, but Noooo! Usiwe na kisasi, ni kibaya sana, hakimalizi ugomvi kinazidisha udhia na mateso ya moyo. Ingia chumba cha ndani, muombe Mungu akupe kusamehe kwa gharama hio yakutolipa kisasi. Tenda mema halafu atajifunza ktk wema utakaomtendea, atajifunza kitu lazima. Cha msingi linda sana furaha na amani ya nafsi yako. God Loves you!!
 
:glasses-nerdy::confused2::confused2::confused2::doh::doh::doh::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::help::help::help::noidea::noidea::noidea:
hahahaaaaaaaaa.... waswahili wanasema raha ya kware ni kwe..kwe..kwekwekwekweeeeee, ya bata ni hahahahaaaaaaaaa we acha tu

leo n'tu na n'tu tu
 
Hii thread inanichokonoachokonoa vile. Maana mi bila vitatizo hayanogi yaani tangu niwe nae raha wiki mbili ugomvi wiki moja. Wonderful enough jana tu tumesolve lakin siku chache zijazo kitawaka. Sa mi sijui wana Jf mtanisaidiaje hapo cause i'm a victim.
mkuu hata mbege utamu wake machicha ati... saa hii niko kwenye utamu... nshasau fundo ati'
 
vile vifundo,madoa huwa yanafunguliwa yote na utamu unaendelea au mbu akingata tu unarudia verse:msela:hawa inzi huwa tunafungulia wenyewe
mh, sijakuelewa, unatumia mihadarati ya aina gani?
 
Back
Top Bottom