Kumbe ukiwezeshwa unaweza
Hivi hapa mimi na wewe ndio tunagombana? eti huu ndio utamu wa penzi aisee
Nashindwa cha kuchangia...am soooooooooo confused!:A S 20:
Mjukuu eti unaijua migubegube? Mimi sijawahi kukutana nayo
MTM kabandika na kuacha watu wajipige chenga wenyewe....
MTM.............Vakesheni ya Tanga imekuharibu kaka yangu yaani umekuja na maneno yooote ya taarab!! Eti Magubegube na Kwerekwenini sijui ah
Haya bana ..........ila samahani mie sijaelewa kidogo (Kichwa yangu inaanza kuzeeka kabla ya Mwili aisee)....vijiugomvi hivi ni vile vya kati yako na madame au ni vile vya kutoka kwa vizabizabina na vinyamkera wa pembeni??
Nifunulie kwanza
ha ha ha lolMmmmh kwani mi sio mpenzi wako. Uvumilivu........
Hivi kinyamkera nini?
Isije kuwa ni jina la shetani lol
Hata hivyo viogovi vinaimarisha penzi, hasa pale mnapokoseana halafu mnasameheana.
Ile am sorry sweetie, I I I I didn't.....
Ha ha ha pia kwene kaugomvi ndo unamfahamu mtu vizuri,kwa undani, hekima yake, hasira zake, uongo na ukweli wake, kiburi chake, dharau zake, utu wake nk nk, lakini mkiwa mnacheka tu kila siku, siku likitokea la kutokea ndo utakapoona rangi saba zinatokea.
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...
Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'
Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?
Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
swahili pure hiyo dada... nimeamka vyema sana leo... :first:Hii lugha sijaielewa kabisa jamani... ni kiswahili??
swahili pure hiyo dada... nimeamka vyema sana leo... :first:
lile fundo nshalimega na kutema... basi si utamu wa mua ati... si unajua ukila mua ni zaidi ya mswaki?
Mwenda tezi na omo aisee
swahili pure hiyo dada... nimeamka vyema sana leo... :first:
lile fundo nshalimega na kutema... basi si utamu wa mua ati... si unajua ukila mua ni zaidi ya mswaki?
Mwenda tezi na omo aisee
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...
Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'
Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?
Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
Aisee we MTM, safari ya Tanga mbona uliniacha?
Mzee Yusuf kishapona?
Eti si wanasema uzuri ni kipimo cha ubaya??
Hii thread inanichokonoachokonoa vile. Maana mi bila vitatizo hayanogi yaani tangu niwe nae raha wiki mbili ugomvi wiki moja. Wonderful enough jana tu tumesolve lakin siku chache zijazo kitawaka. Sa mi sijui wana Jf mtanisaidiaje hapo cause i'm a victim.