Utamu wa penzi ni yale maugomvi - aisee

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,843
11,208
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...

Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'

Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?

Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
 
Ha ha ha, ila sometimes bifu linaboresha penzi nafikiri ni kwa ajili ya kuangalia how strong is your partner kwenye hivyo vinyamkera, Je? Anaweza kuvumulia hivyo vinyamkera halafu you move on despite the hardships kuna wengine wakikaa muda mrefu bila vinyamkera, wanavitafuta kwa nguvu ili mradi apate the opposite side of it ili ajue kumbe kweli mwenza wangu ananipenda na kunijali
 
Hapo kwenye red,
umenifanya nishindwe kuchangia kabisa!!
Nadhani ulitaka hao wanaoitwa hivyo ndo watoe michango yao hapa!
SORRY, I AM OUT!!!!!!
 
Hahahaa.....nitarudi......kwa ufafanuzi wa vinyamkera na vibifu.....halafu veree late usiku..yani wa manane
 
Hapo kwenye red,
umenifanya nishindwe kuchangia kabisa!!
Nadhani ulitaka hao wanaoitwa hivyo ndo watoe michango yao hapa!
SORRY, I AM OUT!!!!!!
karibu tena bacha... it depends umeichukuliaje binafsi, just a nick:laugh:
 
Ha ha ha, ila sometimes bifu linaboresha penzi nafikiri ni kwa ajili ya kuangalia how strong is your partner kwenye hivyo vinyamkera, Je? Anaweza kuvumulia hivyo vinyamkera halafu you move on despite the hardships kuna wengine wakikaa muda mrefu bila vinyamkera, wanavitafuta kwa nguvu ili mradi apate the opposite side of it ili ajue kumbe kweli mwenza wangu ananipenda na kunijali
I think zile fundo kwenye mua zina utamu wake aisee... kale ka-baby come back katamu sana
 
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...

Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'

Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?

Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?

Unamaanisha nini hapo kwenye red na ni kina nani hao??

I will be back after commercial break
 
Hivi kinyamkera nini?
Isije kuwa ni jina la shetani lol

Hata hivyo viogovi vinaimarisha penzi, hasa pale mnapokoseana halafu mnasameheana.
Ile am sorry sweetie, I I I I didn't.....
Ha ha ha pia kwene kaugomvi ndo unamfahamu mtu vizuri,kwa undani, hekima yake, hasira zake, uongo na ukweli wake, kiburi chake, dharau zake, utu wake nk nk, lakini mkiwa mnacheka tu kila siku, siku likitokea la kutokea ndo utakapoona rangi saba zinatokea.
 
Kwa mfano wewe ndio kinyamkera wangu halafu unanilazimisha nile kiporo cha kibua au kibua kilichochacha ili kikaelee kwenye valuu au ndovu hapo si maugomvi aisee
 
MTM.............Vakesheni ya Tanga imekuharibu kaka yangu yaani umekuja na maneno yooote ya taarab!! Eti Magubegube na Kwerekwenini sijui ah

Haya bana ..........ila samahani mie sijaelewa kidogo (Kichwa yangu inaanza kuzeeka kabla ya Mwili aisee)....vijiugomvi hivi ni vile vya kati yako na madame au ni vile vya kutoka kwa vizabizabina na vinyamkera wa pembeni??

Nifunulie kwanza
 
Ha ha ha nimecheka mpaka basi lol!!
 
Mjukuu eti unaijua migubegube? Mimi sijawahi kukutana nayo
 
Back
Top Bottom