Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,428
Naomba kuuliza hivi utamaduni wetu waTanzania ni upi haswa?!
utamaduni wetu ambao watu hua wanautumia kupinga mambo kibao japo haujulikani (maana ukiwaomba wauelezee wanashindwa) huo utamaduni ni upi?!
Tukiweka dini pembeni (utamaduni tulioletewa na mzungu na mwarabu) tamaduni zetu kuhusiana na mavazi ni upi?Maana kila siku sikosi kusikia wanawake/wanaume wa Kiafrika wamesahau utamaduni wao siku hizi ni nguo za kubana na kuonyesha maungo.Tukifuata utamaduni wetu tunatakiwa tuvae mavazi ya aina gani?!
Malezi kwa watoto yanatakiwa yawe ya aina gani!?
Ndoa inatakiwa ichukuliwe vipi?!
Infidelity inatakiwa ichukuliwe vipi?!
Nafasi/tofauti kati ya mwanaume na mwanamke kwenye jamii iweje?!
Hivi ni baadhi tu ya vitu nnavyokumbuka ambavyo watu hua wanatumia utamaduni wetu either kuvikubali au kuvikataa pale wanapoona inawafaa.
Sasa je huo utamaduni NI UPI!!?Tuelimishane tafadhani....