Utajuajekama amecheat!!

we ukita kujua kama amedo au hakudo,akifika tu mpe mambo fastafast kama wewe ni demu wake.na ukiona anachukua muda mrefu kumaliza jua tayari,insu kama hii iliwahi kumtokea mshikaji wangu lakini yeye alipass quiz hiyo.
 
katika mambo ambayo ctakagi kulifikiria ni hilo,mie naomba heshima yake tu,ingekuwa kama asubuhi tukitoka kila mtu anachukua cha mwenzie anakiweka kwenye mkoba ningepata ahueni vinginevyo ctaki kujua/kuhic ka cheat mana mhhh......
..Ngoja nitafute mdau tufanye utafiti wa kuwawekea wenza speed governor tunaweza kutoka na mihela kibao!!! Maana haya mambo ya watu kumega/kumegwa kwenye ndoa ni kizungu mkuti Teh! tehhhh!!tehhhhhh!!!!
 
we ukita kujua kama amedo au hakudo,akifika tu mpe mambo fastafast kama wewe ni demu wake.na ukiona anachukua muda mrefu kumaliza jua tayari,insu kama hii iliwahi kumtokea mshikaji wangu lakini yeye alipass quiz hiyo.
Sasa itakuwaje kama hajado na akachelewa kumaliza kwa sabab hayupo kwenye mood wakati huo? Tatizo saa nyingine inawezekana kweli kachelewa sabab ktoka kudo na saa nyingine sabb ya kutokuwa kwenye mood.

Mi nafkiri kama ana sabb ya kunicheat(mi nimemsababisha) sawa, ila kama hana sabab nafsi yake itamtesa mpaka ashae sabb haniibii mimi ila anajiibia mwenyewe.
 
Nakusapoti kwa yote ila nimeipenda hiyo red. Lazima utakuwa homegirl wewe. Hahaha! Mkuu Nguli hajagundua hiyo.
 
Sasa ndo ukishajua kwa mfano kacheat unampa adhabu gani? najua wanaume huwa wanakimbilia kuacha but kwa wanawake wengi wetu huwa tunasita kuacha moja kwa moja na ndio maana tunabother kutafuta chanzo kwanza kabla ya adhabu. Kama wewe mwanamke mpenzio ndo umegundua kacheat unampa adhabu gani?
 
Laiti ningekuwa mwanamke, nikagundua mme wangu ananicheat? Very simple, nami nacheat.
 
Ah asa si wote mtakuwa wendawazimu? kwangu mimi mwanaume anayecheat ni sign ya udhaifu yaani ni weak na hafai kuwa mwanaume ! Kama kuna kitu hukupendi kwenye relationship yako ni bora kujaribu kukirekebisha au kutema kabisa ijulikane moja but kucheat!! its a big NO to me

The same applies to mwanamke
 
95% ya wanaume wanacheat. Kaa ukijua kabisa. Si udhaifu wala nini. Nature hiyo mama. Kwa hiyo usishindane na wanaume kwa hili. Si binadamu tu, hata wanyama wengine, Ni asilimia ndogo sana ya he anayeridhika na she mmoja. Period!
 
Namshukuru Mungu wewe upo kwenye asilimia hiyo 5% ambao hawacheat,Hiyo 95% ni akina Fidel80 na kina Nguli.Usidanganyike ukaanza kucheat switi!
 
Sikatai kabisa kwa hiyo ni nature yenu kuwa dhaifu (hivi Chrispin we ni a he kweli?). So ni udhaifu tu bwana kama huridhiki na mmoja why uendelee kukaa naye? si umdamp uende kiota chengine bwana?

Mie hata sishindani nanyi hata kidogo
 
Hahaha! Ntahitaji kuombwa rahi kwenye hiyo red. Lol! Yule mama binti yangu akisoma hiyo posti yako, atafunga Safari kuelekea ofisi za TAMWA kukushtaki. Hiyo habari nayompaga mwenyewe atakusimulia mkikutana mahakamani. Hehehe! Kudampo? Mnakubaligi kudampoiwa nyie?
 
Namshukuru Mungu wewe upo kwenye asilimia hiyo 5% ambao hawacheat,Hiyo 95% ni akina Fidel80 na kina Nguli.Usidanganyike ukaanza kucheat switi!

Hahahaha! Mchumba bana! Hebu nisaidie kumsisitiza MJ1 aniombe radhi kabla sijachukua hatua za kinidhamu. Eti ananiuliza kama mimi ni he au she? Hebu mwambie habari zangu.
 
Namshukuru Mungu wewe upo kwenye asilimia hiyo 5% ambao hawacheat,Hiyo 95% ni akina Fidel80 na kina Nguli.Usidanganyike ukaanza kucheat switi!

zd,
kwa niaba ya wapwa tajwa hapo juu nimetumwa nikushauri uwaombe msamaha kabla ya serious attack
 
Hahaha! Ntahitaji kuombwa rahi kwenye hiyo red. Lol! Yule mama binti yangu akisoma hiyo posti yako, atafunga Safari kuelekea ofisi za TAMWA kukushtaki. Hiyo habari nayompaga mwenyewe atakusimulia mkikutana mahakamani. Hehehe! Kudampo? Mnakubaligi kudampoiwa nyie?

Kaka niko chini ya miguu yako (na macho nimefumba) nakuomba radhi kwa kukukosea. :(
 
Kwa mamlaka niliyopewa na kanisa, Binti umesamehewa. Huo ndio urafiki wa kweli. (Hope bado tuko ndani ya mada, kama tumetoka, kwa niaba yako naomba radhi.)
 
Back
Top Bottom