Utajuajekama amecheat!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,892
Wakuu naomba niwasilishe hoja hii!

kuna hoja nyingi zimekuwa zikipita humu ndani kuwa kipindi hich karibia asimia nyingi ya wanandoa au wapenzi wawe wa kike au kiume wamekuwa wakitendembea nje ya mahusiano yao.na wengine katika michango yao wamekuwa wakithibitisha kuwa hata maofisini wamekuwa wakifanya hizo ngono zembe na wengine wemediriki kuchangia kuwa kuna wengine wanatumia muda wa lunch time kufanya hivyo ilimradi tu aweze kuwahi nyumbani bila hata kushitukia kuwa ana kimada au small house.

na wengine wamekuwa wakibadilisha line za simu huku wakizipa majina kuwa hii ni kwa ajili ya mwajuma na hii ni Sophia na nyingine kwa ajili ya mawasiliano ya Sifa.

Kwa wadada wame zao wamekuwa wakiwapeleka hata saloon huku wakitegemea kuwa wameenda kufanya usafi wa nywele au kucha au hata kufanyiwa massage lakini hatimaye kukutwa wakiwa wameandaliwa na wenye saloon wanaume ndani ya saloon hizo bila wenzi wao kutambua.

Kwa kuwa ni vigumu kumlazimisha mtu mzima na akili zake kutofanya hivyo walio wengi tumeshindwa kugundua ni njia gani tunayoweza kutumia kugundua kama mwenzi wako ana cheat au ametoka kufanya au lah.

Naomba waungwana naomba msaada wa mawazo yenu utamtambuaje kuwa huyu leo kado au hakudo?

Najua kuna watakao kuja na maswali mengi kuhusu utafiti lakini naomba tusiangukie huku ni msaada tu mawazo jamani.

Tumsifu yesu kristu.
nawasilisha
 
katika mambo ambayo ctakagi kulifikiria ni hilo,mie naomba heshima yake tu,ingekuwa kama asubuhi tukitoka kila mtu anachukua cha mwenzie anakiweka kwenye mkoba ningepata ahueni vinginevyo ctaki kujua/kuhic ka cheat mana mhhh......
 
katika mambo ambayo ctakagi kulifikiria ni hilo,mie naomba heshima yake tu,ingekuwa kama asubuhi tukitoka kila mtu anachukua cha mwenzie anakiweka kwenye mkoba ningepata ahueni vinginevyo ctaki kujua/kuhic ka cheat mana mhhh......


ahhhh kweli umenena mmmnh yaani wala usingefikiraia sijui anafanya nini, yuko wapi, akichelewa poa tu...duh! maisha yangekuwa safi sana! lakini nidvyo hivyo basi!
 
ahhhh kweli umenena mmmnh yaani wala usingefikiraia sijui anafanya nini, yuko wapi, akichelewa poa tu...duh! maisha yangekuwa safi sana! lakini nidvyo hivyo basi!


unajua kulifikiria lijitu lizima ni kazi ngumu sana, nimejichokea mie! afanye na nicjue, nikijua imekula kwake...
 
Duh hakuna kitu kinacho uma kama kujua mke wako anamegwa na kakijana flani hivi mmmh
 
Kifupi ni bora usifikirie, kwani ukianza kufikiria utaumba vitu na utaviona vinakuja kama ukweli.

Mimi nawashauri hawa wanaume tu wasitufanye tukawahisi, kwani ukishaanza kuhisi tu ni sumu hata kama afanyi. Yaani mawazo yatatengeneza mpaka inakuja kama kweli
 
Hata sisi mume akimega inaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hii ni kukuonyesha msisitizo jinsi inavyouma.

Hehehe machungu yanazidiana bana mme ndo anaumia zaidi kuliko mwanamke maana iwa naona mtiti wake duh si n'chezo.
 
swali gumu sana aaah utamtambuaje maana habakishi alama labda akamatwe ugoni!!

utajua tu...
Kwanza kitchen party zinakuwa nyingi....
Pili akirudi anakwenda moja kwa moja bafuni....
Tatu hakusumbui hata ukikaa wiki nzima bila kumega
nne.........anakuwa anaongeza kujiremba kabla ya kutoka tofauti na zamani....
Tano......

Aahhh leo naishia hapa....
 
swali gumu sana aaah utamtambuaje maana habakishi alama labda akamatwe ugoni!!

Mi kama mwanamke ametoka kumegwa najua kabisaaaa niliwahi mwache Mjengo hivi hivi kesha chojola kila kitu mimi nikamwambia umetoka kumegwa akabisha si unajua nina software mikononi nikajaribisha nikabaini nilivaa nguo zao nakuanza mbele.
 
Wakuu naomba niwasilishe hoja hii!.......

Naomba waungwana naomba msaada wa mawazo yenu utamtambuaje kuwa huyu leo kado au hakudo?

.....

Utamtambuaje? Soma hapa chini:
- atachelewa kurudi nyumbani kama kado after 5:00pm
- atawahi kurudi nyumbani kuliko kawaida kama kado during working hours
- atakulete ma-zawadi kibao kama kado bila kufarahi "play"
- ataonyesha kuwa na mawazo mengi kuliko kawaida kama kado bila kinga
- atakuwa "busy" na michezo ya TV hata ambayo hajawahi kuiangalia
- atakuwa amepauka usoni (kama alipata shower after the "play")
- atakuwa na abnormal manukato kama kado kwenye gari
- hatapenda ku-kumbatia kama mnayo mazoea kama hayo atakapoingia
- hatapenda kucheza na watoto kabla ya kuingia bafuni
- on extreme cases "ataingia bafuni moja kwa moja" atakapofika na uchelewa sana kutoka bafuni
- anaweza kushindwa kupata mlo wa usiku kwa kusingizi kwamba hajisikii vizuri na hivyo "a cup of coffe" will do
- mtakapo lala husinzia hata kabla wewe hujamaliza kuoga

e.t.c......
 
KM ni mwanamke akirudi muwahi kabla hajaenda kuoga ingawa najua atakuwa kaoga huko huko kama alimegewa guest, kama ni cha fasta fasta basi kabla hajaingia kuoga mwambie avue pant yake achuchumae km dk 10 hivi lazima uji udondoke chini hahahahahahaah
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom