Utajuajekama amecheat!!

some pipo bwana, kama unaona thread imekuzidi uwezo unaweza chambua nyingine, sioni la ajabu lililoongelewa humu, na kama unajiona mtoto unaingia humu kutafuta nini? nenda majukwaa ya elimu kule.

Mwache Bwana asome, maana hata huko kwenye elimu si ajabu akakutana na mjadala wa sex education kama inayotolewa mashuleni siku hizi. Unajua threads kama hizi ni muhimu (hata porn ni muhimu?) kwa sababu wazazi huwa hawawafundishi watoto mambo haya, cha ajabu siku ya harusi wazazi wanasherekea bila hata kujiuliza kama mwanao anafahamu anachotakiwa kufanya katika unyumba, na kama anafahamu kafahamufahamuje.
Aidha, huko kwenye vicheni pati, si muintroduce somo la faithfulness vs infidelity jamani, labda kucheat kutapungua/kutakoma
 
Kwa kuwa wewe ni muumini, na kama mwenzio hali kadhalika, basi hata siku asipokomunika kanisani, yaweza kuwa ishara kwamba kananilihi recently
Kukomunika sio kipimo.
Kwani ukiwa na ndoa hakuna dhambi nyingine zaidi ya hiyo?
 
Kwa kuwa wewe ni muumini, na kama mwenzio hali kadhalika, basi hata siku asipokomunika kanisani, yaweza kuwa ishara kwamba kananilihi recently

Njoo nikumege afu tuongozane kwenda church uone kama sitaifakamia sakramenti kama kawa.
 
Kama alitumia condom! na licha ya hayo mwanamke hodari huosha vizuri something yake tena kwa maji ya ndimu kidogo kwa kutumia taulo kufuta minato yote ya kudo. Achaneni kabisa na anga za watu hizi. Hishima na IMANI tuu ndo inayotakiwa hapa. Otherwise nikusugua kichwa kwa mawazo yasiyokuwa na msingi kabisa.
 
duuu, twisheni kwa wananawake!!.........na sisi wanaume kama katoka kudo ukikaribia nyumbani kama kilometa mbili unafunga vioo vya gari then unawasha heater full blast hadi utoke jasho, au unapaki gari baa ya jirani then unatembea kuelekea nyumbani...on the way unakimbia kidogo kigogo..hadi utoke jasho, ukikutana na jirani unamwambia unafanya mazoezi ya kupunguza kitambi!!
 
kweli hii ndo inaitwa begg Party!!!kumbe yapo hayo?
 
katika mambo ambayo ctakagi kulifikiria ni hilo,mie naomba heshima yake tu,ingekuwa kama asubuhi tukitoka kila mtu anachukua cha mwenzie anakiweka kwenye mkoba ningepata ahueni vinginevyo ctaki kujua/kuhic ka cheat mana mhhh......

Bado angekuibia unapokuwa busy na kazi, cha msingi kingewekewa password, afu unaijua peke yako, hata yeye haijui, Frustration zote zingeisha.
 
Kama alitumia condom! na licha ya hayo mwanamke hodari huosha vizuri something yake tena kwa maji ya ndimu kidogo kwa kutumia taulo kufuta minato yote ya kudo. Achaneni kabisa na anga za watu hizi. Hishima na IMANI tuu ndo inayotakiwa hapa. Otherwise nikusugua kichwa kwa mawazo yasiyokuwa na msingi kabisa.

du Penny mbona unaua kabisa ....:)
 
duuu, twisheni kwa wananawake!!.........na sisi wanaume kama katoka kudo ukikaribia nyumbani kama kilometa mbili unafunga vioo vya gari then unawasha heater full blast hadi utoke jasho, au unapaki gari baa ya jirani then unatembea kuelekea nyumbani...on the way unakimbia kidogo kigogo..hadi utoke jasho, ukikutana na jirani unamwambia unafanya mazoezi ya kupunguza kitambi!!

ha ha haa ha ha ah!!...mweh jamani!! ha ha haaa!
 
machale..kwa wanawake ukiona sixth sense inakwambia ka cheat mtazame usoni mwambie ume cheat leo...reaction yake itakuhakikishia 100 parcent,
 
Back
Top Bottom