Utajuajekama amecheat!!

Milele amina Chaku.
kuhusu mada: kumtambua inakuwa ngumu kidogo kwa kweli esp kwa wanaume maana wao wamejaliwa maungo yao yanapata mihemko mara kwa mara. kwa wanawake utakuta anakubadilikia tabia na attitude aliokuwa nayo kwako inabadilika ukifanya mauchunguzi utakuta kweli anakucheat.
lakini pia kuna wadada wengine hakubadilikii wala nini anakula vitu pande zote mbili kumtambua pia inakuwa ngumu kweli.
yani hapo kweli hata sijui cha muhimu jifanye kama huoni na wala huwazi mambo hayo ya kudanganywa endeleza libeneke la mapenzi tu unless itokee wazi mbele ya macho yako.
 
Back
Top Bottom