Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
jamani luv na wewe imebidi nicheke tu, anakamua hayo makitu ili iweje? mnato...khaa, hiyo kitu sio rahic kushtukia jamani luv, haya bac hebu niambie ulishtukiaje? kitu kilikuwa kimetepweta?
Hahahahaha si nakwambia vidole vyangu viligundua ndo maana nakwambia kuna software humu kwenye vidole nilivyo zama tu nikagundua nahisi hakutumia mdimu au limao angetumia nisinge gundua.