Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,381
- 33,032
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.
Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?