Fahamu masharti ya kumiliki Mali na utajiri na mambo ya kuzingatia kabla ya kuingia

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,910
6,706
Jini hutoa mali kwa ridhaa yake akikupenda tu atakupa ishara ya kupata mali hutoi chochote kwake.

Mashetani ndio wanaombwa kwenye kumiliki mali ukiona unaenda mibuyuni mizimuni kwenye mito ambapo chini kuna miji mikubwa mali za namna hiyo ni mali za kishetani na madhara yake ni makubwa mno kuliko ufikiriavyo.

Huenda hali ya maisha si nzuri katika ufatutaji ama una shauku ya kumiliki mali pasipo kujishughulisha sana. Ama umeshughulika sana lakini hali haiwi nzuri kiushauri usipende kujishughulisha na shughuli za utafutaji wa utajiri bila shughuli maalum. Mimi ninayeandika makala haya naujua mwisho wa huo utajiri utakavyokutesa ndio maana pamoja na kuandika makala za namna hii pia huwa naweka msimamo wangu kuwa mimi sitoi utajiri wa aina hiyo ambayo wataalam watakuambia kwa lugha ya utajiri wa majini lakini ukweli ni utajiri wa kishetani.

Kitu unachotakakiwa kufahamu hakuna masharti maalumu ambayo kila anayetaka utajiri atayapitia. Kila mmoja atapewa masharti yake binafsi kulingana na uhitaji wake wa hiyo mali lakini pia uwezo wa nyota yake katika milki hivyo. Hivyo mara nyingi mashart hutofautiana hata mahitaji katika kukamilisha hilo zoezi huwa hayafanani kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Kuna kumiliki mali moja kwa moja yaani ukawa na chumba cha kuokotea fedha tu. Na kuna kitu cha kufanya kikupe fedha za ghafla. Mfano unaweza kuwa msanii ukaota umaarufu ghafla ukapata matangazo shows na ukainuka kiuchumi. Pia unaweza kuwa mfanya biashara pia mambo yakainuka ghafla ila vyote ni kwa msaada wa kishetani.

Ukimuomba mungu mambo yatakuwa ila kwa utaratibu na muda anaoutaka yeye Mwenyezi Mungu na ukiomba kwa shetani ni kitendo cha haraka sana kama utafuata yale anayoyataka.

HAYA NI BAADHI YA MASHARTI YA MALI ZA KIJINI

KATIKA UTAFUTAJI WA HIZO MALI KUNA MASHARTI AMBAYO UNATAKIWA UYAFUATE KULINGANA NA HITAJI LAKO

KUWATOA WAZAZI WAKO AU WATOTO

Mara nyingi majini wanaotoa mali Kama hizi za masharti huwa ni mashetani. Hivyo hufanya mambo yao kishetani hivyo ili akupe unachotaka ni lazima na wewe ufanye mambo ya kishetani. Hivyo yaweza ukaambiwa utoe wazazi wako ama watoto wako ili kupata unachohitaji kwa haraka. Yaweza kuwa umaarufu ukakupa pesa au kupata pesa tu moja Kwanza moja.

Hapa kuna mambo mawili yaweza ikawa umemtoa moja kwa moja ili wao majini wamtumie kwenye shughuli zao ni sawa na kuweka bondi kitu ili upate kitu. Pia inawezekana akawa kafa kwa macho ya kawaida ila yupo ndani kwako kwenye chumba maalumu ambacho utatumia kuchukulia pesa. Maana yake yeye ndiye atakuwa akikupa pesa kwa kufuata masharti maalumu ambayo utakuwa umepewa kuyafanya kila baaada ya muda fulani.

Pia yawezekana akawa anaonekana ila akawa kaharibiwa aidha kawekwa ukichaa au ndondocha la nje. Kadri anavyozidi kuharibika basi mali zinazidi kujaa. Usishangae kuwaona matajiri wana watoto vichaa ama wana maradhi yasiyoeleweka ila ukiangalia mzazi ana uwezo wa kumgharamia kwa jinsi alivyo na mali ila huachwa tu maana huo ndio mtaji wenyewe.

Huu ndio utajiri mkali sana kuliko yote hata umaarufu kama utautaka utaupata. Ila sharti zake ndio hizo pamoja na smasharti mengine ya siri baina ya fundi na mteja wake. Unaweza kuua mtoto ukapewa sharti la kuingiliana na mzazi wako kila baada ya muda fulani yote ya hayo ni katika mambo ya kisheitwani. Na unapofeli kwenye maharti maana yake utapata hali mbaya na kuporomoka kiuchumi.

KUJIDHULUMU NAFSI NA KUGAWANA NAO

Shart jingine kubwa sana ni kudhulumu nafsi yako mwenyewe. Kwa kuingia mkataba wa kupata mali kwa miaka fulani kisha utakufa na kuwatumikia wao. Yaani mnagawana umri wako uliobaki kama umebakisha miaka miwil ufe basi mwaka mmoja utaishi kitajiri mwaka mmoja utawatumikia mashetani kwa kufuata na kufanya kazi utakazopangiwa.

Hapa kuna kipengele yaani makubaliano uanze kuwatumikia halafu ndipo upewe utajiri au uanze utajiri kisha uwatumikie. Kama ulishawahi kusikia mtu kapotea ghafla miaka ikapita mkamsahau kisha akaja kuonekana ghafla tu akawa mtamu kama mcharo ama umaarufu ukaongezeka ujue kuna njia hyo aliyoipitia.

Kwanza atawekwa sehem maalum ya milki ya mashetani utapewa masharti huko utakapofaulu na kutoka salama. Ndipo utaanza kutumia utajiri wao, wapo wanaoenda hawarudi tena ina maana wakifika wanashindwa masharti ama kwenda kinyume na matakwa waliyokubaliana.

Njia nyengine ni kuanza kuwa tajiri ama kuota umaarufu. Kuna baadhi ya wasanii wanakuwa maarufu sana kisha hufa ghafla. Wapo wafanyabiahsra wanasiasa na kada zingine. Huanza kuwa matajiri ama umaarufu kisha ghafla tu hufa. Sio kwamba wanakufa kweli wanaondolewa kwenye ulimwengu unaoonekana wanatumika kwenye mambo ya ghaibu mambo yasiyoonekana.

WAPO WANASIASA WANAOTAFUTA UMAARUFU. WAPO WAMILIKI WA MADHEHEBU YA DINI KUPATA WAFUASI MAANA KUNA KIPENGELE CHA KUONGEZA UMRI KWA KUTOA IDADI YA WATU FULANI MFANO MWAKA HUU NDIO MWISHO WAKO KATIKA ULE MKATABA WA UTAJIRI NA JINI BASI KAMA UTAUA WATU IDADI FULANI UNAONGEZEWA MWAKA AU MIAKA MIWILI. KIUFUPI MAMMBO NI MENGI NA YANAHITAJI USHIRIKIANO.

UTOFAUTI KATI YA JINI SHETANI

JINI NI KIUMBE KILICHOUMBWA NA MUNGU KAMA ANAVYOSEMA MWENYEWE KWAMBA HAKUUMBA MAJINI NA WANADAMU ISIPOKUWA WAMUABUDU. BINADAMU NA JINI WAMEUMBWA NA MUNGU KWA LENGO LA KUMTII NA KUFUATA ALIYOAMRISHA SHETANI NI SIFA AMA CHEO CHA JINI MUASI AMRI ZA MWENYEZI MUNGU NA KUWALAGHAI WANADAMU IMEANDIKWA HAKIKA SHETANI NI ADUI WENU WA WAZIWAZI JIEPUSHENI NAO.
 
Ulivyoanza tuu mwanzo nimekuelewa ya kwamba unachokiandika hubahatishi bali unakijua vyema.
Nishapita njia nyingi saana kuusaka mkwanja mpaka kuja kujijua mimi ni nani na natakiwa nifanye nini kumiliki vya ulimwengu. Mungu ni Mungu tuu
 
Insha ni ndefu, ila kuna pumba na mchele ukipembua vizuri nusu kilo ya mchele haikosi.
 
Back
Top Bottom