Utajiri unaotolewa na Mwakipande

Mwenye nafasi atafute filamu moja ya kinaigeria inaitwa Billionaires club, nadhani hakuna atakaebishana na mtoa mada, haya mambo yapo ila pesa yake inakuwa na mwisho mbaya na ni lazima igharimu damu za watu wasio na hatia.

Kuna sehemu nyingine huko kwa wandengereko kunaitwa ngende,ukitaka kuwa tajili lakini uwe unavaa kaniki na kandambili unakaribishwa sana na hata Ulaya utakiwi kwenda wala hotel ya kitalii hurusiwi kuingia na wala mwanamke mrembo hurusiwi kufanya nae mapenzi, na kafara ni lazima umtoe mama yako mzazi na mtoto wako kipenzi.
Billionaire club ni hatari sana mtu anaota funza kichwani daahh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaah kuna siku natoka zangu disco alfajir pale mafinga tunarudi town tulipanda coaster kuna mzee ilipofika zamu yake kulipa kijiti kikadondoka kikageuka ka binaadamu kadogodogo kana bonge la afro na kamevaa pensi ya zambarau na kananuka hatari, kisha akaanza kuweweseka abiria fumbeni macho kum***zake...
 
Hiyo nimewahi kuiskia hata njombe
 
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni

Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k

Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
Kumbe widambe naye ana mizizi??
 
yeye je
 
Hahahaaah kuna siku natoka zangu disco alfajir pale mafinga tunarudi town tulipanda coaster kuna mzee ilipofika zamu yake kulipa kijiti kikadondoka kikageuka ka binaadamu kadogodogo kana bonge la afro na kamevaa pensi ya zambarau na kananuka hatari, kisha akaanza kuweweseka abiria fumbeni macho kum***zake...
Nini kiliendelea baadae?
Funguka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom