Utajiri unaotolewa na Mwakipande

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,229
32,623
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
 
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni

Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k

Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?

Aisee we wa wapi bana?
umeenza majibu then unakuja na swali!
kwa kifupi swali lako majibu yake ni hayo uliyotujuza wanajamvi unless uwe umetunga then unataka proof!!
 
kwa hiyo hao uliowataja una uhakika ni wateja wa mwakipande? Uchawi na hela Za kichawi zipo ila you are not supposed to point finger without hard evidence.
 
Aisee we wa wapi bana?
umeenza majibu then unakuja na swali!
kwa kifupi swali lako majibu yake ni hayo uliyotujuza wanajamvi unless uwe umetunga then unataka proof!!

jamaa hasomeki, mambo yote anayajua yeye na bado anatuuliza sisi.
 
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni

Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k

Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?

Sheikh mambo yamekuwa magumu nini,kama vipi waulize hao kwenye nyekundu na wenzake super feo,mama mbilinyi,.........utajiri wao umetoka wapi?

Together in Poverty Apart in Riches
 
hivi wewe mleta topic una akili? Fanya kazi hakuna utajiri wa kupewa kila kitu kinahitaji hardworking; ka unataka utajiri wa kupewa nenda Lamu uwakute maarabu watakupa utajiri
 
Umekurupuka uwe na uhakika na kitu unachopost humu jamvini,Huyo mganga yupo mkoa wa Iringa na wilaya ya Makete kijiji cha Igolwa,Lakini kwamba anagawa utajiri sina uhakika kwa matajiri wengi naona ni hardworkers,
 
Fanyeni kazi hakuna utajiri wa kupewa. Matajiri wote wamefanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii
 
Mtoa mada yuko usingizini, alilala na njaa, sasa anaota ndoto ya utajiri na waliowahi kuwa matajiri;
AMKA WEWE KUMEKUCHAAAAAAAAA ACHA KUOTA!
 
Namna hii wachuna ngozi hawataisha, na wale ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi wataendelea kupunguzwa viungo vya miili yao kila siku.
 
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni

Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k

Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?

Hiyo ndoto ya kitandani achana nayo unataman.......Wakati hata kazi hufanyi tumia akiri ........

Mkuu ulilala na njaa nin halafu ukaota umepata utajiri ulivyo amka duuu njaa kari huna hata bati.

Nikweli kbs waganga wa kìenyeji wanagawa utajiri ukifuata masharti yake na ukikiuka 2 unafirisika.

Kikubwa mganga anacheza na akili yako tu atakambwia fanya kazi atakupangia matumizi na mashart mengine kibao ndiyo mana utasikia wakinga ni wabahili sana yale ni mashart na janja za waganga wao walio waibia kisanii.

Mleta mada umekurupuka mwakipande hapatikani njombe huyo alikuwa anapatikana makete ,
bali anaye ishi njombe makambako ni mwandulami.

Mleta mada ulio wataja kwenye thread yako wakikutaka ulete ushahidi utaleta??
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom